Jarida limemharibu mdogo wangu

unatufanya maboya akati mhusika ni wewe, suluhisho jitaidi kusoma maneno ya mungu kulingana na imani yako, epuka kukaa pekee ndani pia jikeep busy mda mwngi nadhan huyo shetan utamshinda
Huu ni unafiki uliopitiliza. Wewe ulipozaa na ndugu yako Mungu hakuwepo wakati huo?

Sijui kwa nini wabongo kwenye kutoa ushauri wanajidai kama malaika ilhali wao wanamatukio ya ajabu kuliko hata mashauriwa. Uziri nyuzi zao zimo humu.

Ukiwa mnafiki usiwe msahaulifu.
 
Umevaa uhusika wa mdogo wako ila kiuhalisia ni wewe mwenyewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyeto nomaa sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…