Katika jumla ya daladala 120 za jiji la Dar-es-salaam nilizopanda kuelekea maeneo mbalimbali ndani ya kipindi cha miezi 2, nimeweza kushuhudia ni daladala 15 tu zilizokuwa zikifuatilia mambo mbalimbali ya kijamii na kimataifa ikiwemo kusikiliza taarifa za habari na matukio mhimu, daladala 115 zilikuwa zikipiga mziki wa taarabu, na pindi abiria walipomuomba dereva abadilishe ili waweze kusikiliza taarifa ya habari au matukio mengine dereva aliwaka na kufoka na hata kuongeza sauti ya radio, hebu jaribuni kufuatilia hili