Jaribu leo, mke wako hatakusaliti kamwe

Daaa mwache si anafanya mazoezi kwa Tim Pinzani ili akija kwako Awe mchezji Bora . ..WIVU HAUJENGI MAISHA BORA YA NDOA
 
Kumekuwa na kilio kirefu sana juu ya wanandoa kusalitiana.Ifuatayo ni dawa ya kuzuia tatizo hilo ni kwa wale tu waishio ndani ya nyumba moja kama mke na mme au waliokwisha funga ndoa.

Kwanza,tambua umri halisi wa mke wako,zoezi lifanyike kwenye kitanda mnacholala.

Nyonya vidole vyote vya mguu wa kushoto wa mke wako mara idadi ya umri wake. Baada ya kumaliza nyonya kiwiko cha mkono wake wa kushoto na mwishowe malizia nyuma ya goti la mguu wake wa kushoto. Ukimaliza mnong'oneze maneno 'Nakupenda' kwenye sikio lake la kushoto utakuwa umeshamaliza kazi.

NB: Zoezi hili lifanyike mkiwa kwenye kitanda chenu mnacholalia tu
Wadau kumbukeni gakuna fomula moja ambayo inaweza kujibu shida za wana ndoa wote,kila ndoa ina mazingira yake tofauti,hivyo dawa halisi ni kila mwanandoa kumfahamu mwenzie kinagaubaga mfano kuna ndoa mmoja wapogegedana mme huenjoi sana mkewe akimnyea
 
Dawa za kishirkina ukikosea masharti, inakudhuru mara mbili, ina maana ukikosea, atasaliti mara nyingi. Ngoja tu anisaliti lakini sio kushiriki huo ushirikina, unyonye hizo sehemu mara 40 !!! Kwanza utamweleza kuwa unafanya nini !!
Hahahaaaa mpka nimecheka sana
 
Hii ndio MMU bwana, raha tupu
hhahahha nimecheka kwa sauti...nipo ofisini hapa nazua na internet maana muda wa kusepa tayari zamanimi nilastman standingtechnical...namalzia uhondo na jf....nimepata uhondo hapa hahaha maana nimecheka tu...JF aminiaaaa
 
Ha ha ha ha ha afadhali nimeingia humu maana nimecheka ghafla. Kwa nini mnafundisha watu uchawi? Mungu hapendi lakini.
Hakuna uchawi hapa, hakuna msukule wala tambiko. Hakuna tunguli wala lamli una deal na psycholojia ya mwanamke tu
 
Back
Top Bottom