Nilikuta zimepostiwa kwenye thread moja ikabidi nitafute hizi series nikazidownload walaaah ni nzur kish**nz
nazo ni The 100 ambayo imeishia season 2 na the last ship nayo imeishia season 2 kama hujazichek jarib kuzitafuta kama bado kama kuna nyingine kama hizo naomben nijarib kuzidownload

Naomba unielekeze jinsi ya kudownload move...kwa kutumia PC ..Asante
Nilikuta zimepostiwa kwenye thread moja ikabidi nitafute hizi series nikazidownload walaaah ni nzur kish**nz
nazo ni The 100 ambayo imeishia season 2 na the last ship nayo imeishia season 2 kama hujazichek jarib kuzitafuta kama bado kama kuna nyingine kama hizo naomben nijarib kuzidownload
Kitu
Chuno
3 days
City Hunter
Game of thrones
Sailem (sina hakika lama nmepatia spelling)
Power
Dong yi
Orphan black ni hatari sana...tafuta uwachek clones wanavyopga kazi.
hizo series za kikorea hazina mvuto niliikubali tu Athena yani hizi series za korea hata kitu hakijafanyika ushatabiri kitakachotokea, huwez linganisha hizi na series kama prison break, person of interest, breaking bad,24.........
Series za kikorea nzuri hasa za kizaman same applied to series za west kama game of thrones, spartacus, prison break sijawahi iangalia na sina hata hamu ya kuiangalia same applied to 24.
Strike back safi
Power safi
Vikings safi
Kwa series za Korea
You r beautiful
My love from another star
The heirs
Goo family book
City scandal.
Ni tamu balaaaaaaaa