Jaribio la Polepole kujaribu kuwachezesha watz "kiduku"

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,051
23,499
Mara nyingi jamii hii ya wazungu ni watu ambao wanajiamini sana na kuamini kile wanachokiona na kusema straight accordingly / kwa bahati mbaya maneno mengi na janja janja za ajabu ni moja ya utaratibu wetu wa kiafrika,kiasi kwamba hata mtu awe na makamo kiasi gani inashindikana kuwa mkweli kwa 100%.

Sababu kuu 2 za misaada ya MCC kuondolewa ni;-

1. Uchaguza wa marudio Zanzibar
2. Cyber crime laws iliyofinya Uhuru wa kihabari.

-->>WHO IS TRYING TO EXAGARETE ? BY PUTTING SWEET SOFTLY WORDS.

TENDS TO ACCEPT REALITY.
KISWAHILI CHAKO MUREFU HAKINA MAANA YOYOTE.
 
Mwenzenu yuko kwenye interview ya kuutafuta ukuu wa wilaya au cheo chechote atakachokumbukwa na mkuu
 
Kuna wakati kiongozi aliyepita alikuwa akishambuliwa sana kwa kuendekeza kuombaomba, aliitwa kila aina ya majina mabaya kwa namna ya uongozi wake huo!

Uongozi huu uko tofauti kabisa na ule au nyongozi zilizopita, uongozi huu ni wa kipekee ambao hauna hulka ya kujipendekeza kwa wazungu, tatizo lililopelekea MCC kufunga virago linafahamika na kiukweli hata hao watawala wameimizwa japo hawawezi kusema wazi.

Ila binafsi sioni kama ni jambo la kulialia sana, kwani kifanya hivyo ni kuendeleza yale yale yaliyokuwa yakilalamikiwa kwa watawala waliopita, kujinyenyekeza kupita kiasi kwa wazungu, hivi kweli sisi bila hao wazungu hatuwezi?

Mbona sio zamani tulikuwa tukihubili ktk majukwaa ya siasa kwamba Almasi tuliyonayo,

Dhahabu tuliyonayo,
Mbuga tulizo nazo,
Ardhi yenye rutuba ifaayo kwa kilimo na.., na kila aina ya rasilimali tulizonazo tukizitumia vizuri na kwa maslahi mapana ya Nchi yetu, hatuna haja ya kuomba omba kwa wazungu.

Yuko wapi Dr.Slaa,
Yuko wapi Prf. Lipumba,
Wako wapi wale wengine watupe chambuzi zao kuhusu uchumi wetu na tunavoweza kujisimamia?

MCC wameondoka leo tunaanza kuwalilia, kana kwamba tuliumbwa tuishi kwa msaada wao milele.
 
Mara nyingi jamii hii ya wazungu ni watu ambao wanajiamini sana na kuamini kile wanachokiona na kusema straight accordingly / kwa bahati mbaya maneno mengi na janja janja za ajabu ni moja ya utaratibu wetu wa kiafrika,kiasi kwamba hata mtu awe na makamo kiasi gani inashindikana kuwa mkweli kwa 100%.
Sababu kuu 2 za misaada ya MCC kuondolewa ni;-
1-uchaguza wa marudio Zanzibar
2-cyber crime laws iliyofinya Uhuru wa kihabari.
--->>WHO IS TRYING TO EXAGARETE ? / BY PUTTING SWEET SOFTLY WORDS.
TENDS TO ACCEPT REALITY.

Mkwepa Kodi pole sana kwa kushindwa kwako kudakua, kuchanganua na kutafsiri mambo yaliyo katikati ya mistari ( reading between lines).

Marekani imeshabaini kuwa utawala wa sasa si wa kuwalamba miguu, wala hauko tayari kuingia mikataba ya hovyo inayohatarisha uhuru na utu wa Mtanzania.

Kuhusu Zanzibar cha umuhimu ni kuzingatia sheria na katiba ya Zanzibar....anayedhani kaonewa dawa yake ni kwenda mahakamani kudai haki yake ama tafsiri ya sharia; kama hawakwenda huko nani wa kulaumiwa?

Mwisho: Kuna ukweli wa kiasi Fulani kuwa wazungu wengi si tu wanajiamini bali ni wepesi wa kutumia ujinga wetu kutulaghai na kutufitinisha sisi wa mataifa maskini, Lengo likiwa ni kupora raslimali zetu ili kuwanufaisha mabepari wa nchi zao.

Wanaowasaidia kutimiza azma hiyo si watu kama Mheshimiwa Polepole, bali ni watu kama Bw. "Jino la Mamba" waliolewa kasumba ya ukoloni mambo leo, nawaliojisahau kabisa kuwa wana uwezo angalau wa kutembea dede katika kujiletea maendeleo yao bila ya kutegemea mkonjojo wa wafadhili wa nje ya nchi.

Its Time to Wake up! Play your part.
 
KAMA KUNA KITU NAKICHUKIA KULIKO VYOTE DUNIA HII BASI NA CHAGGADEMA,INATENGENEZA VIJANA MASHOGA
 
Kwahio dhumuni lako nini!!

Ina maana hii MCC imewatoa kimasomaso?
Hoja zoote zimebuma hahaha

Mjipange upya
MCC inabuma mudawowote
 
Kuna wakati kiongozi aliyepita alikuwa akishambuliwa sana kwa kuendekeza kuombaomba, aliitwa kila aina ya majina mabaya kwa namna ya uongozi wake huo!!
Uongozi huu uko tofauti kabisa na ule au nyongozi zilizopita, uongozi huu ni wa kipekee ambao hauna hulka ya kujipendekeza kwa wazungu, tatizo lililopelekea MCC kufunga virago linafahamika na kiukweli hata hao watawala wameimizwa japo hawawezi kusema wazi. Ila binafsi sioni kama ni jambo la kulialia sana, kwani kifanya hivyo ni kuendeleza yale yale yaliyokuwa yakilalamikiwa kwa watawala waliopita, kujinyenyekeza kupita kiasi kwa wazungu, hivi kweli sisi bila hao wazungu hatuwezi?
Mbona sio zamani tulikuwa tukihubili ktk majukwaa ya siasa kwamba Almasi tuliyonayo,
Dhahabu tuliyonayo,
Mbuga tulizo nazo,
Ardhi yenye rutuba ifaayo kwa kilimo na.., na kila aina ya rasilimali tulizonazo tukizitumia vizuri na kwa maslahi mapana ya Nchi yetu, hatuna haja ya kuomba omba kwa wazungu.
Yuko wapi Dr.Slaa,
Yuko wapi Prf. Lipumba,
Wako wapi wale wengine watupe chambuzi zao kuhusu uchumi wetu na tunavoweza kujisimamia,
MCC wameondoka leo tunaanza kuwalilia, kana kwamba tuliumbwa tuishi kwa msaada wao milele.

Na wewe uwe na akili ya kuelewa. Hoja hapa siyo MCC wala EU wala nini. Suala lililoko mezani ni ubaradhuri katika masuala yafuatayo ambayo ndiyo chimbuko la mjadala huu.

1. Uchaguza wa marudio Zanzibar
2. Cyber crime laws iliyofinya Uhuru wa kihabari.

Kwa nini huyazungumzii? Kwa nini watu wanakwepa kuyazungumzia badala yake kama kawaida ya mbweha wanakimbila kulaumu wazungu ama kujikosha kwa aibu eti wanajitegemea?

Kujitegemea huko ndiko kutafuta matatizo ya mauaji ya demokrasia na matumizi mabaya ya sheria gandamizi dhidi ya binadamu?

Kuna mtangamano gani wa maendeleo ya kijamii na kiuchumi mahala penye utawala usioali raia? Kwa mantiki hiyo MCC wakiondoka na wafadhili ili mjitegemee, mtakuwa mmepata suluhu ya utawala dharimu dhidi ya Watanzania au mtakuwa mnawalinda watawala wabovu dhidi ya mkono wa sheria? Nani kwanza atakayeumia zaidi ya raia wa kawaida ambao MCC inawatetea?

Nenda kwenye hoja. Mengine haya ni matokeo.
 
Mara nyingi jamii hii ya wazungu ni watu ambao wanajiamini sana na kuamini kile wanachokiona na kusema straight accordingly / kwa bahati mbaya maneno mengi na janja janja za ajabu ni moja ya utaratibu wetu wa kiafrika,kiasi kwamba hata mtu awe na makamo kiasi gani inashindikana kuwa mkweli kwa 100%.

Sababu kuu 2 za misaada ya MCC kuondolewa ni;-

1. Uchaguza wa marudio Zanzibar
2. Cyber crime laws iliyofinya Uhuru wa kihabari.

-->>WHO IS TRYING TO EXAGARETE ? BY PUTTING SWEET SOFTLY WORDS.

TENDS TO ACCEPT REALITY.
Sijawahi kuona MTU MNAFIKI kama Polepole, pia amejivika kuwa msemaji/mjibia serikali
 
Mkwepa Kodi pole sana kwa kushindwa kwako kudakua, kuchanganua na kutafsiri mambo yaliyo katikati ya mistari ( reading between lines).

Marekani imeshabaini kuwa utawala wa sasa si wa kuwalamba miguu, wala hauko tayari kuingia mikataba ya hovyo inayohatarisha uhuru na utu wa Mtanzania.

Kuhusu Zanzibar cha umuhimu ni kuzingatia sheria na katiba ya Zanzibar....anayedhani kaonewa dawa yake ni kwenda mahakamani kudai haki yake ama tafsiri ya sharia; kama hawakwenda huko nani wa kulaumiwa?

Mwisho: Kuna ukweli wa kiasi Fulani kuwa wazungu wengi si tu wanajiamini bali ni wepesi wa kutumia ujinga wetu kutulaghai na kutufitinisha sisi wa mataifa maskini, Lengo likiwa ni kupora raslimali zetu ili kuwanufaisha mabepari wa nchi zao.

Wanaowasaidia kutimiza azma hiyo si watu kama Mheshimiwa Polepole, bali ni watu kama Bw. "Jino la Mamba" waliolewa kasumba ya ukoloni mambo leo, nawaliojisahau kabisa kuwa wana uwezo angalau wa kutembea dede katika kujiletea maendeleo yao bila ya kutegemea mkonjojo wa wafadhili wa nje ya nchi.

Its Time to Wake up! Play your part.
Shida yako unadhani bado ujamaa una nafasi duniani..pole sana kwa kuathriwa na walimu wako wa mlimani..kila wakati wanaamini wazungu wanataka kuinyonya Tanzania lakini wanasahau ukoloni wa mtu mweusi kama CCM
 
---ndezi wameshauingilia huu Uzi,
KUJITEGEMEA NDILO LENGO LA TAIFA LETU,ISPOKUWA KWA SASA BADO! WE DEPENDS 44% IN OUR BUDGET FROM DONORS.//
KUNA WATU HAPA WANA MACHO VIZA.
 
Kuna wakati kiongozi aliyepita alikuwa akishambuliwa sana kwa kuendekeza kuombaomba, aliitwa kila aina ya majina mabaya kwa namna ya uongozi wake huo!

Uongozi huu uko tofauti kabisa na ule au nyongozi zilizopita, uongozi huu ni wa kipekee ambao hauna hulka ya kujipendekeza kwa wazungu, tatizo lililopelekea MCC kufunga virago linafahamika na kiukweli hata hao watawala wameimizwa japo hawawezi kusema wazi.

Ila binafsi sioni kama ni jambo la kulialia sana, kwani kifanya hivyo ni kuendeleza yale yale yaliyokuwa yakilalamikiwa kwa watawala waliopita, kujinyenyekeza kupita kiasi kwa wazungu, hivi kweli sisi bila hao wazungu hatuwezi?

Mbona sio zamani tulikuwa tukihubili ktk majukwaa ya siasa kwamba Almasi tuliyonayo,

Dhahabu tuliyonayo,
Mbuga tulizo nazo,
Ardhi yenye rutuba ifaayo kwa kilimo na.., na kila aina ya rasilimali tulizonazo tukizitumia vizuri na kwa maslahi mapana ya Nchi yetu, hatuna haja ya kuomba omba kwa wazungu.

Yuko wapi Dr.Slaa,
Yuko wapi Prf. Lipumba,
Wako wapi wale wengine watupe chambuzi zao kuhusu uchumi wetu na tunavoweza kujisimamia?

MCC wameondoka leo tunaanza kuwalilia, kana kwamba tuliumbwa tuishi kwa msaada wao milele.
MaCCM Waliambiwa acheni michezo hii ya kijinga wakati mmeshaweka ahadi lukuki zinazotegemea fedha za MCC, hawakusikia. Sasa wanajifanya eti wao...serikali ndio waliokataa masharti.

Kuweni wakweli, sio swala la kuombaombawala nini
 
KAMA KUNA KITU NAKICHUKIA KULIKO VYOTE DUNIA HII BASI NA CHAGGADEMA,INATENGENEZA VIJANA MASHOGA
ImageUploadedByJamiiForums1459509803.028093.jpg

chama kinachotengeneza mashoga kinajulikana bila hata darubini
 
Mkwepa Kodi pole sana kwa kushindwa kwako kudakua, kuchanganua na kutafsiri mambo yaliyo katikati ya mistari ( reading between lines).

Marekani imeshabaini kuwa utawala wa sasa si wa kuwalamba miguu, wala hauko tayari kuingia mikataba ya hovyo inayohatarisha uhuru na utu wa Mtanzania.

Kuhusu Zanzibar cha umuhimu ni kuzingatia sheria na katiba ya Zanzibar....anayedhani kaonewa dawa yake ni kwenda mahakamani kudai haki yake ama tafsiri ya sharia; kama hawakwenda huko nani wa kulaumiwa?

Mwisho: Kuna ukweli wa kiasi Fulani kuwa wazungu wengi si tu wanajiamini bali ni wepesi wa kutumia ujinga wetu kutulaghai na kutufitinisha sisi wa mataifa maskini, Lengo likiwa ni kupora raslimali zetu ili kuwanufaisha mabepari wa nchi zao.

Wanaowasaidia kutimiza azma hiyo si watu kama Mheshimiwa Polepole, bali ni watu kama Bw. "Jino la Mamba" waliolewa kasumba ya ukoloni mambo leo, nawaliojisahau kabisa kuwa wana uwezo angalau wa kutembea dede katika kujiletea maendeleo yao bila ya kutegemea mkonjojo wa wafadhili wa nje ya nchi.

Its Time to Wake up! Play your part.
TUSIDANGANYANE. KUNA KUNDI (LILITU) LINATUMIA MADARAKA VIBAYA KUKANDAMIZA DEMOCRASIA.
WEWE ndio umeshindwa kusoma btn line. Magufuri mwenyewe analijua hilo na anajaribu kulipangua. Mchezo umeanzia bunge la katiba. Figisu mpaka uchaguzi unaisha. KINARA nani kama sio huyo aliekua anaomba huko nje. Kamwachia madaraka mwenzie huku anamvurugia. Mchezo wa ccm mwenyekiti wake mpaka sasa ni JK. system bado inamsikiliza Figisu zote hizi ni chini ya utawala wake. HAPO VIPI
 
Back
Top Bottom