Jaribio la kuivamia JF kwa kusudi la kumkamta Maxence Melo halikubaliki na tunawaonya watu wanaoshiriki vitendo kama hivyo

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,560
Reaction score
7,914
Nimepata taarifa za uhakika kutoka kwenye account rasmi ya Maxence Melo kuwa JamiiForums imevamiwa siku ya leo.

Tunaungana na JamiiForums tunasimama imara kupiga kelele kulaani vikali sisi wanachama katika tukio la aibu la uvamizi uliofanyika kinyume cha sheria kwenye ofisi za JamiiForums,

Vitendo vyovyote vya uvamizi havina uhalali wa kisheria hata kama vinatekelezwa na polisi lazima kuna utaratibu moja kwa moja hili tunalichukulia kama jaribio la utekaji nyara.

Tunapinga kwa nguvu zote vitendo vyovyote visivyo vya kisheria na tunaonya watu wanaoshiriki kwenye vitendo hivyo vya kiuhalifu wasifikiri hawatoweza kuwajibishwa na umma. Vitendo kama hivi vinachafua taswira ya nchi yetu.
 
Nimepata taarifa za uhakika kutoka kwenye account rasmi ya maxence melo kuwa jamiiforums imevamiwa siku ya leo.

Tunaungana na jamiiforums tunasimama imara kupiga kelele kulaani vikali sisi wanachama katika tukio la aibu la uvamizi uliofanyika kinyume cha sheria kwenye ofisi za jamiiforums,

vitendo vyovyote vya uvamizi havina uhalali wa kisheria hata kama vinatekelezwa na polisi lazima kuna utaratibu moja kwa moja hili tunalichukulia kama jaribio la utekaji nyara.

Wenye serikali yao CCM na Police njooni mtunyoshee maelezo na TISS wanaruhusiwa pia. Maana usalama wetu ni muhimu sana wakati wote.
 
Ilianza hivi
 
Attachments

  • Screenshot_20250905-142918.jpg
    Screenshot_20250905-142918.jpg
    299.2 KB · Views: 23
Nimepata taarifa za uhakika kutoka kwenye account rasmi ya maxence melo kuwa jamiiforums imevamiwa siku ya leo.

Tunaungana na jamiiforums tunasimama imara kupiga kelele kulaani vikali sisi wanachama katika tukio la aibu la uvamizi uliofanyika kinyume cha sheria kwenye ofisi za jamiiforums,

vitendo vyovyote vya uvamizi havina uhalali wa kisheria hata kama vinatekelezwa na polisi lazima kuna utaratibu moja kwa moja hili tunalichukulia kama jaribio la utekaji nyara.

Tunapinga kwa nguvu zote vitendo vyovyote visivyo vya kisheria na tunaonya watu wanaoshiriki kwenye vitendo hivyo vya kiuhalifu wasifikiri hawatoweza kuwajibishwa na umma. Vitendo kama hivi vinachafua taswira ya nchi yetu.
Tunapinga na tunalaani Kwa nguvu zote vitendo vya kiharamia dhidi ya uhuru wa kutoa maoni, lkn ukweli unabaki pale pale kwamba wakiamua hakuna umma wowote Wala mtu awae yote wa kuwawajibisha Wala kuwazuia!
 
Back
Top Bottom