Mi ni mkristu Mkatoliki. Doubt yangu ilikuwa hapa:Na wewe ni mkristu wa wapi? Soma luka 2: 1- 7
.
Kwamba kwa kuwa Yesu alizaliwa kipindi cha Sensa, basi ishakuwa IMANI haipingani na zoezi hilo!! Kwamba Yesu angezaliwa kipindi cha Vita basi Kanisa lisingepingana na VITA?Kwanini sintoshoriki zoezi la sensa
mimi ni mkiristo wa dhehebu la rc.katika mafundisho yetu yesu alizaliwa wakati wa zoezi la sensa hivyo imani ya dini yangu haipingani na zoezi hilo.
Pia naelewa zoezi hili ni muhimu kwa ajili ya serikali kujua idadi ya watu wake ili iweze kupanga mipango ya maendeleo kulingana na idadi hiyo.
Pamoja na kutambua yote hayo nimeamua kutoshiriki zoezi hilo kwa sababu kuu zifuatazo
kama serikali iliweza kulazimisha tununue ndege ya thamani hata kama wananchi watakula nyasi zoezi hili ni kiini macho.serikali makini inajali huduma muhimu za wananchi na sio huduma za mtu mmoja mmoja.
Kama serikali imeshindwa kuwalipa madokta na walimi kwa kisingizio haina pesa na wakati huo huo imeendelea kuwaongeza wabunge marupurupu na posho zao pia imeendelea kununua magari ya thamani,kuongeza mikoa,wilaya na kuwa na baraza kubwa la mawaziri bado zoezi la sensa halina maana.
Kama viongozi wa serikali na wabunge wanaendelea kupelekwa kutibiwa india badala ya kuimarisha hosptal zetu sijui wanataka wajue idadi yetu ili wafanyeje.
Kama bajeti za wizara nyeti kama afya na elimu hazitengewi bajeti ya kutosha ni mipango gani watakayoipanga baada ya kutuhesabu
sababu ni nyingi siwezi kuzitaja zote nitawachosha ila kesho sihesabiwi
kama ukisoma biblia wakati Yesu anazaliwa wazazi wake walikuwa wameenda kushiriki kwenye zoezi la kuhesabiwa
swala la mimi kuwa mkatoriki au sio mkatoriki halikuhusu kwani wewe siyo uliyonibatiza ila swala langu la kutoshiriki zoezi hilo halihusiani ma maswala ya kiimani
Hahaha Mkuu Mwanakijiji umenena kweli kweli... Leo wanakataa nini na wao ndio walikuwa mstari wa mbele kumtaka aliyeko madarakani.. Vitabu vitakatifu vinasema tutii mamlaka sasa hawa ndugu zetu wasichoelewa ni nini?? kwani sisi nzi mpaka tusihesabiwa au mbu. Huu ni upuuzi uliovuka mpaka eti hutaki kuhesabiwa na liwalo eti liwalo! Hizi njozi za mchana zitawaponza wengi. Acha mimi nihesabiwa wajukuu zangu wapate kujua na pengine kusoma historia ya nchi yao siku za mbeleni.
Hakuna hasara yoyote ndugu yangu ila serikali yetu siku hizi kwa jambo lolote lile inaogopa hata kivuli chake, badala ya kutatua tatizo kama lilivyo wao hujibanza banza mafichoni na kuishia kuwatuma akina Ramadhani Ighondu wa wawakilishe
R.C inahusianaje na sensa pamoja na madai yako?Ungesema mimi mtz!Kwanini sintoshoriki zoezi la sensamimi ni mkiristo wa dhehebu la rc.katika mafundisho yetu yesu alizaliwa wakati wa zoezi la sensa hivyo imani ya dini yangu haipingani na zoezi hilo.Pia naelewa zoezi hili ni muhimu kwa ajili ya serikali kujua idadi ya watu wake ili iweze kupanga mipango ya maendeleo kulingana na idadi hiyo.Pamoja na kutambua yote hayo nimeamua kutoshiriki zoezi hilo kwa sababu kuu zifuatazokama serikali iliweza kulazimisha tununue ndege ya thamani hata kama wananchi watakula nyasi zoezi hili ni kiini macho.serikali makini inajali huduma muhimu za wananchi na sio huduma za mtu mmoja mmoja.Kama serikali imeshindwa kuwalipa madokta na walimi kwa kisingizio haina pesa na wakati huo huo imeendelea kuwaongeza wabunge marupurupu na posho zao pia imeendelea kununua magari ya thamani,kuongeza mikoa,wilaya na kuwa na baraza kubwa la mawaziri bado zoezi la sensa halina maana.Kama viongozi wa serikali na wabunge wanaendelea kupelekwa kutibiwa india badala ya kuimarisha hosptal zetu sijui wanataka wajue idadi yetu ili wafanyeje.Kama bajeti za wizara nyeti kama afya na elimu hazitengewi bajeti ya kutosha ni mipango gani watakayoipanga baada ya kutuhesabusababu ni nyingi siwezi kuzitaja zote nitawachosha ila kesho sihesabiwi
Hata mie nahisi hivyo kwa kusoma hapo red. Yesu alizaliwa wakati wa sensa? Over My Dead Body! Sijui ni biblia gani ameisoma asee!!
matokeo ya sensa 2012 waislamu asilimia 75, wakristu20, wapagani 5, haya semeni wala kitimoto mnataka nini tena?
Mie na familia yangu hatuhesabiwi. Ina faida gani hii sensa?