Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 873
- 2,286
24Ni phase Tu ya kukua..
Una umri gani kwani?
Nimekuwa kwenye mahusiano kadha wa kadha, lakini yote nimekuwa nikipokea malalamiko yanayo fanana;
Nimekuwa mtu wa majibu mafupi sana, messages na jibu pale nikijisikia kujibu, simu ndo sitaki kabisaa kupokea, kubembeleza siwezi kabisaa na nipo tayari kuvunjaa mahusiano muda wowote !
Mbaya zaidi, mwanamke nampenda / tamani pale nikimuona, akiondoka /nikiondoka na poteza interest naye kabisa.
Nimejaribu kubadilika japo niwe romantic kidogo, lakini nimeshindwa !
😂😂. Si bado wanukia maziwa totoo
Kwenye swala la kisaikolojia na kubaliana na wewe, lakini sio kunyanyaswa na walezi/ wazazi.Inawezekana ni suala la kisaikolojia, wakati wa ukuaji wako ulilelewa na wazazi au walezi waliokuwa wanakunyanyasa kihisia...
Inawezekana pia ukawa na roho ya kujitenga, nafsi yako haiwezi fungamana na watu...
Kama nimeshindwa kwa umri huu mdogo sidhani kama nitaweza uzeeni.[emoji23][emoji23]. Si bado wanukia maziwa totoo
Emu ukikuwa utajua namna ya kuwa romantique.
Wewe ni mimi kabisa. Mm nawwza mtaman mwanamke nikajikuta kama nampenda kabisa, naweza hata mwambia nakupenda. Ila sasa kuna kashetani huwa kanakujaga tu naanza kujiuliza, hivi huyu so huenda ananuka ki samaki, si nae anajamba kama mm tu ushuzi unanuka, pengine ananuka mdomo. Yaan nikisha waza hivyo tu kwisha, hata interest nae nakosa kabisaNdugu zangu Wana Jf Habari zenu!
Mimi ni kijana wa kiume, napitia changamoto mbalimbali za kuhusiana na mahusiano yangu ya mapenzi.
Nimekuwa kwenye mahusiano kadha wa kadha, lakini yote nimekuwa nikipokea malalamiko yanayo fanana;
Nimekuwa mtu wa majibu mafupi sana, messages na jibu pale nikijisikia kujibu, simu ndo sitaki kabisaa kupokea, kubembeleza siwezi kabisaa na nipo tayari kuvunjaa mahusiano muda wowote !
Mbaya zaidi, mwanamke nampenda / tamani pale nikimuona, akiondoka /nikiondoka na poteza interest naye kabisa.
Nimejaribu kubadilika japo niwe romantic kidogo, lakini nimeshindwa !
Naombeni msaada wa nini nifanye, natamani niwe na positive attitudes kwenye mahusiano.
Iyo sifa ya mwanaume anaemjali muwe mnaweka wazi kwa kusema mwanaume anaempa hela/kumtatulia financial needsWanawake wanapenda mwanaume anayemjali na kumpenda kwa dhati
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app