donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
HahahaBwahahahaha we jamaa unapenda kula kula tu,.. Ukaja kula sumu weye
kweli mkuu!Tudude twa wanaume wa Dar
Wanazisifia kwelikweli mkuu!
[emoji106]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa jinsi anavyopenda kula siku akienda jela atapata shida.Bwahahahaha we jamaa unapenda kula kula tu,.. Ukaja kula sumu weye
Oh oo oo!!!hawa ndio wanasababisha huko Dar kunachafuliwa na mabango.Tudude twa wanaume wa Dar
Nasikia karanga zenyewe ziko 9Oh oo oo!!!hawa ndio wanasababisha huko Dar kunachafuliwa na mabango.
-Ndumilakuwili-
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasikia wamezikorogea na unga wa ngano kwa juu.Nasikia karanga zenyewe ziko 9
najua unachowaza my sisterTamuu kweliiii lkn haizidi ule utamu wa [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Daah mimi wa mkoani ngoja nile mbichi tu au za kuchemsha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasikia wamezikorogea na unga wa ngano kwa juu.
-Ndumilakuwili-