Japo hakuna ajuaye sababu za kuitwa Kaka, isipokuwa YEYE, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akaitwa. Dada ukisikia Hii usipuuze!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,103
Reaction score
128,722
Wanabodi,

Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina!.

Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yetu mkubwa, aliyeitwa kule. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kuitwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee!, ndie aliyetoa, kisha akatwa, jina la Bwana lihimidiwe!.

Ila kuna watu, wenye jicho la tatu, “saw It coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akaitwa!

Sasa huu ni wakati wa Dada Mkubwa, hao watu wenye hilo jicho la tatu, bado wapo, na jicho lao linaona yanayotendeka, linaona yanayotokea, wanaviona viashiria vya same same likely scenario kama ile ya enzi za Kaka na kwa Dada wanaona, na wanasema tena kwa nia njema ile ile na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.

Dada yangu kipenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila kitu utakacho sikia, au utakacho ambiwa kwa maana utasikia vingi, na utaambiwa vingi, ukisema uvishike vyote, utashika vingapi na kuvizingatia vingapi wakati uwezo wa binadamu una limits?.

Uzuri wa masikio, kelele zikipigwa sana, masikio ni lazima yatasikia japo sio kila kitu na kila kelele!, ila kelele zikipigwa, lazima utasikia tuu kuna kelele pahali!, hivyo nakushauri sikiliza kila utakacho sikia, na kila utakacho ambiwa, ila usiamini kila utakacho sikia au kila utakacho ambiwa, bali kisikilize kwa kuishirikisha sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikikwambia kitu hiki ni cha kweli, fanya, ikikuambia hiki sii cha kweli, usifanye, ila lazima uifanyie tathmini hiyo sauti kutoka ndani yako to establish ni sauti ya nani, kati ya YEYE na yeye?, kama ni sauti ya kwake YEYE Mwenyewe, na ukajiridhisha ni sauti yake YEYE, then, usiipuuzie, lakini kama ni sauti ya yeye tuu, achana nayo, endelea na mipango yako ile ya lile jambo letu!.

Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu kumhusu Dada yako, ambacho kitamsaidia, mwambie tuu huyo Dada yako ili kimsaidie.

Sauti hiyo imeniambia kuna watu wamemzunguka, dada yako, huku wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, miongoni mwao, kuna baadhi wana jicho la tatu, na kuna vitu ambavyo haviko sawa wanaviona vinatokea, na vinafanyika, na havija kaa vizuri, walipaswa kumwambia Dada kuwa hii sii sawa, haijakaa vizuri au jambo hili sii sawa, lakini wanashindwa kumwambia kwasababu mrindimo wa ngoma za sifa na mapambio imepamba moto, na inarindima kweli kweli!kila kona ni , mamaa...! mamaaa...!hivyo hawamwambiii, na wao wameamua kujoin mrindimo huku wamenyamaza kimya, hawasemi kitu!, ila ukweli wanaujua, kuwa some things zinazofanyika, they are not right!, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea kuusema ukweli kwa kuchelea labda Dada atakasirika!, kwasababu hata yeye mzuka wa mrindimo wa ngoma, umempanda!.

Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, na mfano mzuri ni issue kama HII akiisikia kama ni ya YEYE akiizingatia, itamsaidia, lakini kama ni ya yeye,aachane nayo, tuendelee kulisongesha kuelekea kwenye lile jambo letu lile!

Paskali
 
Wanabodi,

Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.

Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.

Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.

Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, usiipuuzie!.

Leo asubuhi nikiwa bafuni naonga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.

Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, ndio itakuwa....

Paskali
Huu mchezo mlioanzisha kamwe hautawaacha salama. Mambo ya kutawala bila ridhaa ya wananchi yatawaumiza sana. Piteni na huyu hadi akili iwakae vizuri.
 
Naamini hakuna utakachokiona wewe kama third party yeye asikione na pengine unachokihofia pengine anakijua dhahiri kwa sababu hakuna lililotokea nyuma yeye asiwe na ufahamu nalo kama mtu mwenye nguvu aliyeketi katika meza ya maamuzi kwa muda mrefu pia.

Kuna mengi usioyajua, anayajua, kuna mengi anayopambana nayo, pengine huyajui.

Kwa hiyo picha unayoiona ndio uhalisia sahihi, aidha kama mtu ambaye ameshakubaliana na hali kwa sababu haikuwa dhamira yake kufika alipofika pasipo nguvu kubwa kumshikilia ama la ni sehemu ya mpango wake mkubwa zaidi kwa sababu pengine ana lengo tofauti na hicho kiti anachokikalia.

Kiufupi, acha wafu wazikane
 
Wanabodi,

Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.

Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.

Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.

Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, usiipuuzie!.

Leo asubuhi nikiwa bafuni naonga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.

Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, ndio itakuwa....

Paskali
Duuh wacha tuone.........!
 
Binafsi najua Kuna vitu viwili hatari vinatokea mwaka huu 2025!!

1 karma ya mzee kibao 2025 Kama ulivyokuwa karma ya Ben saanane 2021!!

2: Hiyo option ya kwanza ikifeli ya pili ni kumsimika mwenyekiti mpya wa chama Cha pembeni kuwa ndiye mwenye kiti kikuu!!!

Wenye kuiponya Tanzania fanyeni Jambo kabla Mambo hayajaaribika zaidi maana sasahv nchi inajiendesha tu bila mwelekeo!!
 
Wanabodi,

Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.

Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.

Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.

Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, usiipuuzie!.

Leo asubuhi nikiwa bafuni naonga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.

Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, ndio itakuwa....

Paskali
Huyu analindwa na majini ondoa shaka na kila weekend lazima achinje ngamia
 
Damu za watu hazitawaacha salama.

Ila mie naamini kifo cha mtu ni siku yake ya kufa imefika, mengine ni sababu tu, kama siku yake ya kufa bado atajikuta anasurvive katika hali ya kustajaabisha.

Cheki yule jamaa sativa alivyopona, ila ingekuwa siku yake imefika ingekuwa kama wengine.

Sio kwamba anko magu alipenda kuwa mwendazake hapana, ni muda wake ulitimia, na huyu dada yako muda wake ukiwadia hata alindwe na nini nae atakuwa mwendazake.
 
Paschal hasipuuzwe hata kidogo!!

Binafsi najua Kuna vitu viwili hatari vinaweza tokea mwaka huu 2025!!

1: Cha kwanza ni Kifo Cha kiongozi wa juu zaidi Kama ulivyokuwa 2021 baada ya uchaguzi.

2: Hiyo option ya kwanza ikifeli ya pili ni kumsimika mwenyekiti mpya wa chama Cha pembeni kuwa ndiye mwenye kiti kikuu!!!

Wenye kuiponya Tanzania fanyeni Jambo kabla Mambo hayajaaribika zaidi maana sasahv nchi inajiendesha tu bila mwelekeo!!
Option ya pili nimeipenda sana. Hako kamchezo ka Option ya kwanza sio kazuri.
 
Back
Top Bottom