Japan yaonya raia wake kuhusu shambulizi la Nyuklia

Kitu pekee ambacho Japan na Korea wanatakiwa kufanya ni kukaa na ndugu yao korea kaskazini na China kuongea juu ya usalama wa eneo lote la Asia Pacific lakini kitendo cha kujiandaa na kuwapa na kuwafundisha raia wao juu ya safety precocious ni kazi bure tu kwani duniani jamii ambayo wamezoea vita ni jamii ya Waarabu na baadhi ya maeneo ya Africa lakini sehemu nyingine zinamiaka zaidi ya 60 hawajashuhudia vita vikitokea maeneo yao au jirani yao

Vita vya Nuclear ni vita vibaya kabisa yani hakuna sehemu unaweza jificha ukawa safe kama mripuko umekukosa bhasi Nuclear electromagnetic pulse au radioactive ambazo sitasababishwa na mripuko hazita kuacha mzima
Bomu la Hiroshima na Nagasaki yalikuwa ni madogo lakini yalisababisha damage kubwa sana

Sasa mabomu ya 16 kilotone na jingine ni 22 kilotone yalileta madhara ambayo mpaka leo Japani yanawasumbua pia tunatakiwa kujua Kilotone 1 madhara yanakumba eneo la 0.4KM hii ni kwenda juu na urefu so unaweza kupiga mahesabu 16 na 22 kilotone yalileta madhara kiasi gani na kwa umbali gani
Kumbuka 0.4 KM ni mripuko tu bado radioactive au radiation ambazo zinakwenda umbali mrefu ambapo ni mara nne ya mripuko Mabomu ya sasa si kilotone tena bali ni Megatone ambapo ni Kilotone 1 = 0.001 Megatone so ni Kilotone 1000 ndio unapata Megatone 1 sasa piga 0.4 KM × 1000 ndio unapata Megatone 1 na yapo mabomu ya nuclear yenye mpaka Megatone 50 so jiulize madhara ni kiasi gani kwa eneo la Japan na Korea kusini ?
We bwana unaweka mahesabu mpaka watu pressure zinapanda?watu ushabiki umeshatuishia sasa kimoyo moyo hatuna hamu na ugomvi kabla haujaanza! Nimesoma atahri za za vita kuu kwa jamii mbalimbali hivi karibuni imenifanya nifikwe na hofu kuu!si athari za kimwili tu bali za kiuchumi pia zitasababisha "vita" ya aina yake huku kwetu -ujambazi uharamia ufisadi umalaya madawa ya kulevya maana mustakabali wa maisha utayayumba!
 
Hii noma sasa, Wamarekani nao karibu wanafanya drill ya evacuation kwa raia wao, baada ya mbili walizofanya mwishoni mwaka jana.
Hakuna vita nzuri lakini hii Ikiwezekana iepukike, cos inaweza kuwa Hiroshima & Nagasaki part two, and in high definition.
 
We bwana unaweka mahesabu mpaka watu pressure zinapanda?watu ushabiki umeshatuishia sasa kimoyo moyo hatuna hamu na ugomvi kabla haujaanza! Nimesoma atahri za za vita kuu kwa jamii mbalimbali hivi karibuni imenifanya nifikwe na hofu kuu!si athari za kimwili tu bali za kiuchumi pia zitasababisha "vita" ya aina yake huku kwetu -ujambazi uharamia ufisadi umalaya madawa ya kulevya maana mustakabali wa maisha utayayumba!

Hahaa!, mkuu umenichekesha kama mazuri vile.
Eti kaweka mahesabu mpaka pressure imepanda.

Huyo ndo izzo
 
Hcho ni kitu ambacho HAKIWEZEKANI, KIM hawez kukubali kuacha kutengeneza nuclear kwa mazungumzo hata siku moja labda utokee muujiza.

Vita vya nuclear ni mbaya ndiyo ila me bado nafikiri ni muda sasa umefika kwa Kim kudhibitiwa ikiwemo kukatishwa kwa mpango wake wa Nuke hata kwa nguvu. Hao China wanaomtetea ss hv kumbuka baadae watkuja kumpa shida pale ambapo ataanza kudai vitu kwa nguvu akitishia nuclear maana mbwa akikuzoea sana atakufata had msikitin.

Hlf hayo mabomu ya Megatone kubwa kubwa km 50mt lilikua la USSR kumjibu USA baada y kutengeneza B41 lenye 25Mt. Wakat USSR ilitengeneza moja USA ilitengeneza km 500 hv japo ss hv yote yametolewa kwenye service.
Nkorea sidhan km ana bomu ht la 450kt sidhan.
Kwa Marekani bomu kubwa la nuclear limebaki B83 ambalo ni 1.2Mt ambapo B2 stealth bomber moja inabeba hayo 16.
Mkuu wanasema uonevu wakati mwingine unazalisha majasiri na kwenye majasiri watatokea watu viburi kama kina KIM pia Mazingira yanaweza kuhamasisha kufanyika kwa uharifu sidhani kama kuna Binadamu ambae anaweza kukubali kutengwa na dunia zaidi ya miaka 50 tena bila ya sababu kubwa ni kikundi cha watu tu wamekaa na kutoa amri dunia nzima wakutenge mm sidhani kim anaweza kuwa kiburi nanma hiyo leo Japani ,China ,Korea kusini na Russia wanaweza kuleta amani ya kudumu eneo la Asia Pacific tatizo wazungu hawapendi jamii nyingine tofauti na yao kumaliza matatizo yao wenyewe leo kama kutakuwa na amani kule Asia Pacific US inabidi watoe wanajeshi wao korea kusini na Japan jiulize wanajeshi zaidi ya elfu 60000 waliopo eneo la Asia Pacific na unajua kila mwaka Japani na Korea kusini wanatoa shilingi ngapi kumlipa US kwa ajili ya protection services ?

Japan wanaeneo la 377,972.28 km na South Korea wanaeneo la 100,210 km madhara ya nuclear weapons ni 1-3 Km kwa Megatone 1 huku kifo ni 60% na 40% ni aidha kupata majeraha makubwa sana au radioactive ambazo zitaleta athari zake mpaka kwa watoto utakao wazaa baadae

Bahati mbaya leo hakuna anayejua uwezo wa makombora ya nuclear ya Korea kaskazini lakini US na Russia yanajulikana so ni vigumu kujua Kim ana makombora ya Megatone ngapi na yapo mingapi pia BBC walisema Korea kaskazini wana silaha zaidi ya 1000 ambazo hazijulikani uwezo wake so unaweza kuwa mkubwa sana kuliko tunavyodhani au mdogo kuliko tunavyodhani

Pia kuna weapons of mass destruction ( WMD ) au silence killing machine je wakizitumia ? kumbuka 60% ya maji wanayotumia south Korea yani chanzo chake ni Korea kaskazini? ni kama vile leo Egypt wanatumia mto Nile lakini chanzo chake si ziwa Victoria ambalo liko East Africa? hatari ambayo inaweza kupatikana pale ni kubwa sana kuliko ubongo na akili zetu zinavyodhani Trump anajua kwake ni mbali na raia wake watakuwa safe lakini US ingekuwa kama ilipo Australia wasinge fanya hvyo hata kidogo leo Trump ofisi ni Chungu mpaka kuita Senate ndani ya white house lakini Kim ametulia tu jana Trump ameongea na Ujerumani kutaka kuungwa mkono sasa unajiuliza hv kwa nini leo US kama super power hakuna vita aliyopigana peke yake ? true Hero siku zote wanapambana peke yake
 
NI MJINGA PEKEE ATAKAYEENDELEA KUMSIFIA HUYO DOGO

Haiwezekani north korea zaidi ya mara mbili anafanya majaribio yake ndani ya bahari ya Japan anaangusha mabomu tu kama kwake

Hiyo ilikuwa ni ishara ya dharau kabisa na endapo isingezibitiwa mapema North korea atafanya maangamizi makubwa kwasababu kitendo cha kupiga mabomu ndani ya bahari ya japan ni sawa na kuipiga Japan

So mmarekani yupo sawa kabisa katika mkakati wake wa kumchapa huyu dogo kwasababu hana busara, na mkumbuke kuwa ameshaonywa sana kuhusu tabia yake lakini hasikii

Mbona nchi nyingi tu zina hayo mabomu lakini hawachokozi wengine?

Mmarekani mwenyewe na Russia wameyajaza lakini huwezi sikia wanayalipua lipua hovyo kamaNirth korea anavyofanya

Kama amefikia kuangusha bomu la nuclear kwenye bahari ya japan tena kwa bomu la kutest tu basi sishangai siku likapoteza mwelekeo na kuingia ndani ya japan

Na ndio maana wanataka wampige
 
Kitu pekee ambacho Japan na Korea wanatakiwa kufanya ni kukaa na ndugu yao korea kaskazini na China kuongea juu ya usalama wa eneo lote la Asia Pacific lakini kitendo cha kujiandaa na kuwapa na kuwafundisha raia wao juu ya safety precocious ni kazi bure tu kwani duniani jamii ambayo wamezoea vita ni jamii ya Waarabu na baadhi ya maeneo ya Africa lakini sehemu nyingine zinamiaka zaidi ya 60 hawajashuhudia vita vikitokea maeneo yao au jirani yao

Vita vya Nuclear ni vita vibaya kabisa yani hakuna sehemu unaweza jificha ukawa safe kama mripuko umekukosa bhasi Nuclear electromagnetic pulse au radioactive ambazo sitasababishwa na mripuko hazita kuacha mzima
Bomu la Hiroshima na Nagasaki yalikuwa ni madogo lakini yalisababisha damage kubwa sana

Sasa mabomu ya 16 kilotone na jingine ni 22 kilotone yalileta madhara ambayo mpaka leo Japani yanawasumbua pia tunatakiwa kujua Kilotone 1 madhara yanakumba eneo la 0.4KM hii ni kwenda juu na urefu so unaweza kupiga mahesabu 16 na 22 kilotone yalileta madhara kiasi gani na kwa umbali gani
Kumbuka 0.4 KM ni mripuko tu bado radioactive au radiation ambazo zinakwenda umbali mrefu ambapo ni mara nne ya mripuko Mabomu ya sasa si kilotone tena bali ni Megatone ambapo ni Kilotone 1 = 0.001 Megatone so ni Kilotone 1000 ndio unapata Megatone 1 sasa piga 0.4 KM × 1000 ndio unapata Megatone 1 na yapo mabomu ya nuclear yenye mpaka Megatone 50 so jiulize madhara ni kiasi gani kwa eneo la Japan na Korea kusini ?
r & l
 
Mkuu wanasema uonevu wakati mwingine unazalisha majasiri na kwenye majasiri watatokea watu viburi kama kina KIM pia Mazingira yanaweza kuhamasisha kufanyika kwa uharifu sidhani kama kuna Binadamu ambae anaweza kukubali kutengwa na dunia zaidi ya miaka 50 tena bila ya sababu kubwa ni kikundi cha watu tu wamekaa na kuamlisha dunia nzima wakutenge mm sidhani kim anaweza kuwa kiburi nanma hiyo leo Japani ,China ,Korea kusini na Russia wanaweza kuleta amani ya kudumu eneo la Asia Pacific tatizo wazungu hawapendi jamii nyingine tofauti na yao kumaliza matatizo yao wenyewe leo kama kitakuwa na amani kule Asia Pacific US inabidi watoe wanajeshi wao korea kusini na Japan jiulize wanajeshi zaidi ya elfu 60000 waliopo eneo la Asia Pacific na unajua kila mwaka Japani na Korea kusini wanatoa shilingi ngapi kumlipa US kwa ajili ya protection services ?

Japan wanaeneo la 377,972.28 km na South Korea wanaeneo la 100,210 km madhara ya nuclear weapons ni 1-3 Km kwa Megatone 1 huku kifo ni 60% na 40% ni aidha kupata majeraha makubwa sana au radioactive ambazo zitaleta athari zake mpaka kwa watoto utakao wazaa baadae

Bahati mbaya leo hakuna anayejua uwezo wa makombora ya nuclear ya Korea kaskazini lakini US na Russia yanajulikana so ni vigumu kujua Kim ana makombora ya Megatone ngapi na yapo mingapi pia BBC walisema Korea kaskazini wana silaha zaidi ya 1000 ambazo hazijulikani uwezo wake so unaweza kuwa mkubwa sana kuliko tunavyodhani au mdogo kuliko tunavyodhani

Pia kuna weapons of mass destruction ( WMD ) au silence killing machine je wakizitumia ? kumbuka 60% ya maji wanayotumia south Korea yani chanzo chake ni Korea kaskazini? ni kama vile leo Egypt wanatumia mto Nile lakini chanzo chake si ziwa Victoria ambalo liko East Africa? hatari ambayo inaweza kupatikana pale ni kubwa sana kuliko ubongo na akili zetu zinavyodhani Trump anajua kwake ni mbali na raia wake watakuwa safe lakini US ingekuwa kama ilipo Australia wasinge fanya hvyo hata kidogo

Mkuu mtazamo mzuri.
Lakini, tukiachana na Kim who doesn't seem to care, unafikiri pande nyingine wataachia hili janga litokee kweli?, na kama ulivyo mention kuhusu flash back ya madhara ya 1945?
Kama Trump alipanick juzi baada ya kuona wale watoto waliokuwa gassed fighting for their breath, mpaka aka drop Tomhawks kadhaa, halafu wanajua fika Kim hatasita ku drop Nukes?..watakuna vichwa kwanza.
Na kama anti missle zitahusika, radioactive effects zinaweza kuepukika?
 
Team NK

Pamoja na porojo nyingii....mmarekani mpuuzi tu.

Kim kamuua nani tangu aanze kufanya majaribio? au kapiga nchi gani?

Marekani alikuwa taifa kubwa sa hv atulie wameibuka wengine wanataka na wao wajulikane taifa kubwa kwa kuacha uoga.

Kim ni shujaaa, Trump ajipange tu.
 
Mkuu mtazamo mzuri.
Lakini, tukiachana na Kim who doesn't seem to care, unafikiri pande nyingine wataachia hili janga litokee kweli?, na kama ulivyo mention kuhusu flash back ya madhara ya 1945?
Kama Trump alipanick juzi baada ya kuona wale watoto waliokuwa gassed fighting for their breath, mpaka aka drop Tomahawks kadhaa, halafu wanajua fika Kim hatasita ku drop Nukes?..watakuna vichwa kwanza.
Na kama anti missle zitahusika, radioactive effects zinaweza kuepukika?
Kuna Missile defense systems ambazo zinatumika kujilinda dhidi ya mashambulizi ya makombora kuna nchi 6 ambazo zimeweza kutengeneza hizi Missile defense systems ambazo ni United States, Russia, China , India ,
Israel na France lakini kuna mifumo maarufu sana kama

1 S - 400 na S - 300 kutoka Russia
2 THAAD kutoka United States of America
3 Arrow missile kutoka Israel

Mifumo hii ya S - 300 na S - 400 ,THAAD na Arrow inaingia kwenye category ya Theater ambapo Target yake ni medium-range missiles

Kuna category za aina tatu ambazo ni

1 Strategic = Targets yake ni long-range missiles
2 Theater= Targets yake ni medium-range missiles
3 Tactical= Targets yake ni short-range

Mfano tuzungumzie S - 400 ni
1 8 launchers, plus 16 reloads
2 600 km tracking range
3 400 km target range

Sasa tracking range ni Km 600 sasa Km 600 tayari dude limeshaingia ndani ya mipaka ya nchi yako pia dude linaweza kupingwa mpaka lifikie, KM 400 so linaonekana Km 600 kupingwa km 400 na kinachofanyika ni kulipiga na kuripuka juu kwa juu ambapo madhara upungua kuliko lingetua kwenye target yake. Lakini Moto wa bomu la nuclear ni mkubwa sana lazima utafika chini pia radioactive effects zinapatokana baada ya bomu kuripuka so hata kama watalipiga juu kwa juu lakini radioactive effects lazima zitawapata watu
 
Kuna Missile defense systems ambazo zinatumika kujilinda dhidi ya mashambulizi ya makombora kuna nchi 6 ambazo zimeweza kutengeneza hizi Missile defense systems ambazo ni United States, Russia, China , India ,
Israel na France lakini kuna mifumo maarufu sana kama

1 S - 400 na S - 300 kutoka Russia
2 THAAD kutoka United States of America
3 Arrow missile kutoka Israel

Mifumo hii ya S - 300 na S - 400 ,THAAD na Arrow inaingia kwenye category ya Theater ambapo Target yake ni medium-range missiles

Kuna category za aina tatu ambazo ni

1 Strategic = Targets yake ni long-range missiles
2 Theater= Targets yake ni medium-range missiles
3 Tactical= Targets yake ni short-range

Mfano tuzungumzie S - 400 ni
1 8 launchers, plus 16 reloads
2 600 km tracking range
3 400 km target range

Sasa tracking range ni Km 600 sasa Km 600 tayari dude limeshaingia ndani ya mipaka ya nchi yako pia dude linaweza kupingwa mpaka lifikie, KM 400 so linaonekana Km 600 kupingwa km 400 na kinachofanyika ni kulipiga na kiripuka juu kwa juu ambapo madhara upungua kuliko lingetua kwenye target yake. Lakini Moto wa bomu la nuclear ni mkubwa sana lazima utafika chini pia radioactive effects zinapatokana baada ya bomu kuripuka so hata kama watalipiga juu kwa juu lakini radioactive effects lazima zinawapata watu tu
Mkuu me naomba uelezee hiii ndege ya F35 kwa undani.
 
NI MJINGA PEKEE ATAKAYEENDELEA KUMSIFIA HUYO DOGO

Haiwezekani north korea zaidi ya mara mbili anafanya majaribio yake ndani ya bahari ya Japan anaangusha mabomu tu kama kwake

Hiyo ilikuwa ni ishara ya dharau kabisa na endapo isingezibitiwa mapema North korea atafanya maangamizi makubwa kwasababu kitendo cha kupiga mabomu ndani ya bahari ya japan ni sawa na kuipiga Japan

So mmarekani yupo sawa kabisa katika mkakati wake wa kumchapa huyu dogo kwasababu hana busara, na mkumbuke kuwa ameshaonywa sana kuhusu tabia yake lakini hasikii

Mbona nchi nyingi tu zina hayo mabomu lakini hawachokozi wengine?

Mmarekani mwenyewe na Russia wameyajaza lakini huwezi sikia wanayalipua lipua hovyo kamaNirth korea anavyofanya

Kama amefikia kuangusha bomu la nuclear kwenye bahari ya japan tena kwa bomu la kutest tu basi sishangai siku likapoteza mwelekeo na kuingia ndani ya japan

Na ndio maana wanataka wampige
Umenena mkuuu
 
Kwani Marekani huwa Test zake anafanyiaga wapi? Au anatengenezaga tu bila kutest?
 
Mkuu me naomba uelezee hiii ndege ya F35 kwa undani.
F -35 ni ndege ya kivita ijulikanayo kama fifth-generation jet fighter ambazo ni F - 22 Raptor, F - 35 Lighting II zote za US ,Chengdu J-20 ya China na Sukhoi PAK FA ya Russia . F - 35 au kwa jina jingine ni Lockheed Martin F-35 Lightning II ilikuwa joint strike fighter program ya kampuni mbili za Lookheed martin na Boeing Defense , Space & Security ambapo zilitakiwa kutengeneza ndege ambayo itakuwa na uwezo wa kutumika na air force na Navy kama tunavyojua Navy majini wakat aif force ni angani na sifa moja wapo ndege hii inauwezo kwa kutua na kupaa kama
Helicopter ambapo kulikuwa na ndege moja tu ya fighter yenye uwezo huo nayo ni AV-8B Harrier II iliyotengenezwa kwa ushirikiano wa US na UK na makampuni ya McDonnell Douglas ambayo kwa sasa ni Boeing na British Aerospace
BAE Systems kumbuka awa BAE systems ndo waliotuuzia Rada Tanzania
pia katka mchakato huo Boeing walitengeneza X -35 na Lookheed martin alitengeneza F -35 kwa nini 35 ni kwa sababu kwanza 3 iwe na uwezo wa kufanya vitu vitatu ambavyo ni
1 kutokuonekana kwenye Rada
2 kuwa na uwezo wa kutumika na Navy kwa maana ya kutua kama Helicopter
3 multirole fighters.
Na 5 ni iwe ya kizazi cha 5 Kwani ndege za fighter zina Generation pia
ndo maana utaona wote ndege zao zinaishia na 35 kumbuka ndege hii ya F - 35 Lighting zipo za aina tatu lakini tofauti yao ni Engine tu

1 F135-PW-100 : Used in the F-35A engine hii ndio engine ya F35 ya kawaida ambayo ni F 35 Lighting II A
2 F135-PW-600 : Used in the F-35B engine hii inauwezo wa kufanya ndege ya F35 lighting kutumia uwanja mdogo kupaaa au kutua na hapo hapo ikaweza kupaa na kutua kama helicopter's yani inaweza kutua hata juu ya Ghorofa engine hii ndio engine ya gharama kuliko engine zote za F35
3 F135-PW-400 : Used in the F-35C engine hii inaipa uwezo F35 lighting II kutua kwenye carrier bila ya kuitaji kamba maalum ambazo zinatumika kunasa ndege zinazotua kwenye carrier kama pilot akishindwa kulenga kamba hyo ndege lazima itatumbukia kwenye maji labda afanye kurudi tena angani japo ni ngumu sana kwani take off speed inakuwa ni ndogo sana kwani ndege kupaa inaitaji speed maalum ndio maana kupaa kwenye carrier kunakifaa kinapushi ndege mpaka kufikia take off speed lakini engine hii aina ulazima wa hvyo vitu.
Baada ya kukamilisha ndege hzo mbili za X -35 na F -35 makampuni ya Boeing na Lookheed walizikabdhi kwa ajili ya TEST na ndege ya Lookheed martin ya F -35 iliibuka mshindi na Lookheed kupewa tender kutengeneza ndege hzo ambapo mpaka sasa ameshatengeneza ndege zipatazo 231 ndege hz zina speed ya supersonic yani speed ya zaid ya sauti inauwezo wa kutembea KM 1929 sawa na 1199 Mph
pamoja na mazuri mengi ya ndege hii zipo changamoto zinazozikabili ndege hii ambayo ni kwenye upande wa Dog fight imeonesha kufanya vibaya ambapo mpaka sasa ndege bora kabisa kwa upande wa Dog fight ni Sukhoi su -35 ya Urusi ikifatiwa kwa ukaribu na F - 16 US ambayo ni ya mwaka 1978 na imetengenezwa na Lookheed martin sasa kinachochanganya watu ni kwa nini hii F 35 wametengeneza Lookheed na hii F 16 wametengeneza Lookheed inakuwaje wameshindwa kuifanya hii kuwa best kwa Dog fight zaid ya F 16 Jibu ni kuwa F 35 ni steath fighter au kwa maana nyingine aionekani kwenye rada so itakuwa ngumu kukutana na mapambano ya hana kwa hana na ndege zingne za kivita za adui
 
pamoja na mazuri mengi ya ndege hii zipo changamoto zinazozikabili ndege hii ambayo ni kwenye upande wa Dog fight imeonesha kufanya vibaya ambapo mpaka sasa ndege bora kabisa kwa upande wa Dog fight ni Sukhoi su -35 ya Urusi ikifatiwa kwa ukaribu na F - 16 US amboyo ni ya mwaka 1978 na imetengenezwa na Lookheed martin sasa kinachochanganya watu ni kwa nini hii F 35 wametengeneza Lookheed na hii F 16 wametengeneza Lookheed inakuwaje wameshindwa kuifanya hii kuwa best kwa Dog fight zaid ya F 16 Jibu ni kuwa F 35 ni steath fighter au kwa maana nyingine aionekani kwenye rada so itakuwa ngumu kukutana na mapambano ya hana kwa hana na ndege zingne za kivita za adui
Naongezea maelezo mkuu....

Kwenye swala la Dogfight kwa F35 sidhan km lina umuhimu sana kwa zama hiz za sasa maaana ss hv hzo ndege zina Rada za kisasa zaid kudetect enemy fighter kwa umbali mrefu sana. Mfano radar ya F22 raptor AN/APG-77 ina uwezo wa kudetect ndege ya adui kwa umbali wa hadi 400km. Tena hapo ni kwa ndege/kitu chenye radar cross section size 1m square(mfano; Su-35 inasemekana RCS yake ni 1m square)
Mfano mzuri ni mazoez yaliyofanywa mwaka juz km sikosei kat ya F22 na ndege vita za Europe ikiwemo Rafale na Eurofighter typhoon. Rafale na Euro fighter hazkuweza kuiona F22 kwenye mapambano ya BVR ila kwenye VR ndo walibahatisha.Hvyo hpa inaonyesha umuhim wa stealth ss.

Pia kuna hayo maLong range missiles ambayo yanaenda had 200km.
Mfano tukiongelea best BVR missiles utakuta kuna AIM-120D ya USA ambayo Range yake ni zaid ya 160km kwa speed ya Mach 4.Kuna PL-15 ya China range yake ni 200km. So unakuta watu wanauana bila hata ya kuonana.

Finally, the F-35 is not intended to be an air superiority fighter. That is the F22.
 
Hcho ni kitu ambacho HAKIWEZEKANI, KIM hawez kukubali kuacha kutengeneza nuclear kwa mazungumzo hata siku moja labda utokee muujiza.

Vita vya nuclear ni mbaya ndiyo ila me bado nafikiri ni muda sasa umefika kwa Kim kudhibitiwa ikiwemo kukatishwa kwa mpango wake wa Nuke hata kwa nguvu. Hao China wanaomtetea ss hv kumbuka baadae watkuja kumpa shida pale ambapo ataanza kudai vitu kwa nguvu akitishia nuclear maana mbwa akikuzoea sana atakufata had msikitin.

Hlf hayo mabomu ya Megatone kubwa kubwa km 50mt lilikua la USSR kumjibu USA baada y kutengeneza B41 lenye 25Mt. Wakat USSR ilitengeneza moja USA ilitengeneza km 500 hv japo ss hv yote yametolewa kwenye service.
Nkorea sidhan km ana bomu ht la 450kt sidhan.
Kwa Marekani bomu kubwa la nuclear limebaki B83 ambalo ni 1.2Mt ambapo B2 stealth bomber moja inabeba hayo 16.
Una akili wewe?? Yaani NK akimiliki silaha za NUKE sio haki lakni akimiliki USA ni haki yake?? Uselete usengerema wako hapa.. kumbuka hata sisi tukiendelea USA ataleta habari hizi hizi.. Dunia yafaa iwe na equal balance sio nchi nyingine au jamii fulani ijione ndio bora kuliko mwingine.. mungu katuumba sawa hivyo kila nchi ina haki kufanya inachojisikia.. Alafu UN ni umoja ambao haulazimshwi mtu kujiunga so kama mtu kaamua kukaa pekeyake asisumbuliwe... NK ana haki zote za kumiliki silaha za NUKE.. Tatizo letu wengi ni wapuuzi ambao hatufikirii ikiwa na sisi tutakuwa moja ya mataifa yenye maendeleo hao USA watatuwekea restrictions zao.. Msenge wewe.. hata kama NORTH KOREA atapigwa still atakuwa shujaa kwao na vizazi vijavyo na hata kwa MUNGU.. maana amejitetea juu ya nafsi yake... Ningefurahi USA angepigwa maana since 1947 yeye ni super power.. its time now for another country to take a chair....
 
F -35 ni ndege ya kivita ijulikanayo kama fifth-generation jet fighter ambazo ni F - 22 Raptor, F - 35 Lighting II zote za US ,Chengdu J-20 ya China na Sukhoi PAK FA ya Russia . F - 35 au kwa jina jingine ni Lockheed Martin F-35 Lightning II ilikuwa joint strike fighter program ya kampuni mbili za Lookheed martin na Boeing Defense , Space & Security ambapo zilitakiwa kutengeneza ndege ambayo itakuwa na uwezo wa kutumika na air force na Navy kama tunavyojua Navy majini wakat aif force ni angani na sifa moja wapo ndege hii inauwezo kwa kutua na kupaa kama
Helicopter ambapo kulikuwa na ndege moja tu ya fighter yenye uwezo huo nayo ni AV-8B Harrier II iliyotengenezwa kwa ushirikiano wa US na UK na makampuni ya McDonnell Douglas ambayo kwa sasa ni Boeing na British Aerospace
BAE Systems kumbuka awa BAE systems ndo waliotuuzia Rada Tanzania
pia katka mchakato huo Boeing walitengeneza X -35 na Lookheed martin alitengeneza F -35 kwa nini 35 ni kwa sababu kwanza 3 iwe na uwezo wa kufanya vitu vitatu ambavyo ni
1 kutokuonekana kwenye Rada
2 kuwa na uwezo wa kutumika na Navy kwa maana ya kutua kama Helicopter
3 multirole fighters.
Na 5 ni iwe ya kizazi cha 5 Kwani ndege za fighter zina Generation pia
ndo maana utaona wote ndege zao zinaishia na 35 kumbuka ndege hii ya F - 35 Lighting zipo za aina tatu lakini tofauti yao ni Engine tu

1 F135-PW-100 : Used in the F-35A engine hii ndio engine ya F35 ya kawaida ambayo ni F 35 Lighting II A
2 F135-PW-600 : Used in the F-35B engine hii inauwezo wa kufanya ndege ya F35 lighting kutumia uwanja mdogo kupaaa au kutua na hapo hapo ikaweza kupaa na kutua kama helicopter's yani inaweza kutua hata juu ya Ghorofa engine hii ndio engine ya gharama kuliko engine zote za F35
3 F135-PW-400 : Used in the F-35C engine hii inaipa uwezo F35 lighting II kutua kwenye carrier bila ya kuitaji kamba maalum ambazo zinatumika kunasa ndege zinazotua kwenye carrier kama pilot akishindwa kulenga kamba hyo ndege lazima itatumbukia kwenye maji labda afanye kurudi tena angani japo ni ngumu sana kwani take off speed inakuwa ni ndogo sana kwani ndege kupaa inaitaji speed maalum ndio maana kupaa kwenye carrier kunakifaa kinapushi ndege mpaka kufikia take off speed lakini engine hii aina ulazima wa hvyo vitu.
Baada ya kukamilisha ndege hzo mbili za X -35 na F -35 makampuni ya Boeing na Lookheed walizikabdhi kwa ajili ya TEST na ndege ya Lookheed martin ya F -35 iliibuka mshindi na Lookheed kupewa tender kutengeneza ndege hzo ambapo mpaka sasa ameshatengeneza ndege zipatazo 231 ndege hz zina speed ya supersonic yani speed ya zaid ya sauti inauwezo wa kutembea KM 1929 sawa na 1199 Mph
pamoja na mazuri mengi ya ndege hii zipo changamoto zinazozikabili ndege hii ambayo ni kwenye upande wa Dog fight imeonesha kufanya vibaya ambapo mpaka sasa ndege bora kabisa kwa upande wa Dog fight ni Sukhoi su -35 ya Urusi ikifatiwa kwa ukaribu na F - 16 US ambayo ni ya mwaka 1978 na imetengenezwa na Lookheed martin sasa kinachochanganya watu ni kwa nini hii F 35 wametengeneza Lookheed na hii F 16 wametengeneza Lookheed inakuwaje wameshindwa kuifanya hii kuwa best kwa Dog fight zaid ya F 16 Jibu ni kuwa F 35 ni steath fighter au kwa maana nyingine aionekani kwenye rada so itakuwa ngumu kukutana na mapambano ya hana kwa hana na ndege zingne za kivita za adui
Shukrani mkuu.

Vp kuhusu F22 Raptor?! izzo
 
Back
Top Bottom