ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,417
- 9,603
Serikali ya Japan imeonya raia wake kwamba watakua na muda usiozidi dakika kumi kujiandaa iwapo Nkorea itawashambulia kwa kombora la nyuklia.
Serikali ya Japan imeanza kutoa maelekezo ya jinsi ya kufanya pindi kombora linapokua njiani kuelekea Japa n.
Serikali ya Japan imesisitiza kwamba inaweza isitoe onyo la shambulizi kwa wakati lakin km ikifanya hivyo bhasi watu waende kwenye majengo imara.
Gazeti la Asahi shimbun limeripoti kwamba hii ni mara ya kwanza kwa serikali ya Japan kuelekeza raia wake jambo/jinsi ya kufanya endapo kutatokea shambulio la adui.
Katika mkoa wa Akita kaskazini,bwana Norihisa Satake ameelekeza idara yake ya majanga kua katika tahadhari kubwa na kujiandaa wakati wote ndani ya mwezi huu.
Kusini, kwenye eneo la Fukui, serikali ya mtaa ya eneo hilo pia imeagiza maofisa wake kua kwenye tahadhari kubwa.Pia imesisitiza kwamba iwapo itatokea shambulizi bhasi raia wote wakimbilie kwenye majengo makubwa na imara au maeneo maalum yaliyopo chini ya ardhi.