mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,560
- 10,613
Jifunze ku-upload picha ionekane kubwa... Tumia appKwa heri January
Happy New year My Dada Shadee..Nadhani saa ingine ugumu wa mwezi januari tunauletaga wenyewe hasa pale tunapokosa mipango ya kuona mbali.
Yaani kabla la January ni vyema ikawepo mipango ambayo haiwezi badili mfumo wa maisha pale itakapofika hiyo januari yenyewe.
Ahsante my dear. Na kwako pia mdogo wangu na hatuna budi kumshukuru aliye juu kwa kutuwezesha kuifikia salama 2021.Happy New year My Dada Shadee..
I miss you.
l miss yu tuuHappy New year My Dada Shadee..
I miss you.
Kwangu ni salama kabisa Dada.. Hatuna budi kumshukuru Mungu kuuona mwaka..Ahsante my dear. Na kwako pia mdogo wangu na hatuna budi kumshukuru aliye juu kwa kutuwezesha kuifikia salama 2021.
I miss you too. Nipo mdogo wangu haya niambie januari kwako ipoje? [emoji23]
Hakika tuzidi kumuomba kila kukicha.Kwangu ni salama kabisa Dada.. Hatuna budi kumshukuru Mungu kuuona mwaka..
January kwangu si mbaya si njema.. Japo imekuja na Changamoto zote.. Ila Mungu atafanya wepesi.
Amina My Dada.. Stay Blessed.Hakika tuzidi kumuomba kila kukicha.
Kikubwa kukabiliana nazo tu hizo changamoto japo zisikupe nafasi ya kufanya ukajutia uwepo wa hiyo Januari. [emoji23][emoji23]
Yah! Kwa kuwa yeye ndio mpaji naamini wepesi utapatikana tu.
Ahsante kunikumbuka mdogo. [emoji120][emoji120]
🙏🙏Amina My Dada.. Stay Blessed.
ShadeeyaHakika tuzidi kumuomba kila kukicha.
Kikubwa kukabiliana nazo tu hizo changamoto japo zisikupe nafasi ya kufanya ukajutia uwepo wa hiyo Januari. [emoji23][emoji23]
Yah! Kwa kuwa yeye ndio mpaji naamini wepesi utapatikana tu.
Ahsante kunikumbuka mdogo. [emoji120][emoji120]
Mbona mboga mboga saba kabisa hii, unalia nini mama kubwa, mboga za majani maharagwe na pilipili [emoji1787]Kwa heri January
View attachment 1334159
Niambie KakaShadeeya
Salama dada za ukimya"Niambie Kaka
Na hivi unapenda like ngoja ufungue mwaka na likes za kutosha nimekupa moja, nikuongezee nyingine ngapiKwa heri January
View attachment 1334159
Mhhhh haragwe bichi inatakiwa ulipike lisirojeke ni tamu hatari Jana nilipika kunde mibichi hivyohivyo wala halikinaishi.Harage chukuchuku huwa tamu sana