January na Mwamvita Makamba

Wanajf ninyi mna mitazamo gani kwenye hili? Baada ya uteuzi wa January Makamba kuwa naibu waziri wa mawasiliano na alihali dadaake yuko kwenye maswala yanayoshabihiana na wizara husika? (Vodacom).

Nijuacho mimi dada yake Januari ni MTUMISHI wa Vodacom, sio mmiliki wa Vodacom. I suppose its a mere coincidence!
 
kilichofanyika ni kumnyamazisha J.Makamba,wala si kwa ajili ya utendaji

angeweza kupewa u/waziri wizara yoyote ili aache kuchonga

Naunga mkono mawazo yako. Nijuavyo mimi msimamo ule wa January serikali ya Jk. haiwezi kuutekeleza ikabaki salama! Kwenye nishati kuna mabomu mengi mno! Kwenye madini ndo kabisaaaaaaaaaaa!
 
Samahani sijakuelewa unaongelea nini!
 

text imekaa vizuri!!
 

Weeeeh, hakuna kitu hapa duniani kama "...kakosea..." kwenye siasa! kila kitu kinachotendeka humo kina maana yake, just hold on a minute & it's not necessary you mark my words!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…