January na Mwamvita Makamba

and then so what? does she own voda? was she responsible for his appointment? Mke wako akiwa nesi wewe huwezi kuwa mganga mkuu? Mkeo au Dada yako akiwa mwalimu wewe huwezi kuwa mwalimu mkuu. Jamani tutofautishe undugu na uwajibikaji wa Umma mnaweza kuwa mmezaliwa tumbo moja lakini hamuivi kabisa
Muda c mrefu ****** atampeleka Nishati na madini, tayari umesahau ile mail ya dada kwenda kwa mkuu pale barrick? 2015 inakuja, mtaondoka tu hata kwa sime coz this time hatutakubali kabisa.
 
Ngoja trailer liishe kwanza ....... tuone inakuwaje utendaji wake tutajua tu amerithi kwa mama au baba?
 
WEZI TU. KiSA BABA YAO ALIKUWA KWENYE SYSTEM KAWATENGENEZEA SASA WATOTO WAKE NAO NDO HIVYO WANAENDELEA KUTAFUNA NCHI. KWA MTINDO HUU WA KUPEANA UONGOZI KI UKOO NA KUJUANA WATANZANIA HATUTAKUJA KUENDELEA KAMWE.. HAO NAO WATAWATENGENEZEA ULAJI WATOTO WAO, WATOTO NAO WAJUKUU, WAJUKUU HADI VITUKUU.
 
Jamani Sasa huyo mwamvita anahusika vipi kwenye siasa. Atleast huyo Januaryt unaweza kumjadilil akini na yeye mpeni chance .
Ingawa nadhani JK kakosea kumuweka Wizara Ya sayansi. Ningekuwa JK kwa January angemuweka Wizara ya habari , utamuduni au michezo

Wizara ya sayansi
 
Dah... Watanzania sijui kitu gani kitafanywa tusilalamike!! Vitu vingine havina hata uhusiano lakini twashika bango!tujiulize maswali haya af ndo tuendelee kuchonga;

1.Hivi wizara ya mawasiliano = vodacom?
2. Hivi huyo dadake ni atleast member wa bodi ya wakurugenzi ya voda au ni mwajiriwa tu pale?
3. Hivi voda ni chama cha siasa au ni kampuni ya kibiashara inayoshindana na zingine sokoni?

Mtu hata kuapa bado tushaanza kutoa conclusion tena kwa kujadili mambo yasiyo na uhusiano!?

Hivi kama mawazo yetu ni haya january angeteuliwa kuwa waziri wa tamisemi si tungeanza kusema kua bajeti yote ya tamisemi ataipeleka Bumbuli!?

Je huu ni u-great thinker au U-narrow thinker!!?
 
Dah... Watanzania sijui kitu gani kitafanywa tusilalamike!! Vitu vingine havina hata uhusiano lakini twashika bango!tujiulize maswali haya af ndo tuendelee kuchonga;

1.Hivi wizara ya mawasiliano = vodacom?
2. Hivi huyo dadake ni atleast member wa bodi ya wakurugenzi ya voda au ni mwajiriwa tu pale?
3. Hivi voda ni chama cha siasa au ni kampuni ya kibiashara inayoshindana na zingine sokoni?

Mtu hata kuapa bado tushaanza kutoa conclusion tena kwa kujadili mambo yasiyo na uhusiano!?

Hivi kama mawazo yetu ni haya january angeteuliwa kuwa waziri wa tamisemi si tungeanza kusema kua bajeti yote ya tamisemi ataipeleka Bumbuli kabla hata bajeti yenyewe kuandaliwa!?

Je huu ni u-great thinker au U-narrow thinker!!?
 
achen uchuro kama vipi voda com ya mwamvita inahusika kwan kuandaa mazingira ya january kupata ubunge mnara wa 1 jimbo la bumbuli ulijengw kwenye kijiji cha mzee makamba kukonka nyoyo za wanabumbuli mwamvita akafanya mishe kata yetu ikapata mnara kwan ndio kata inayopitsha mbunge na kuna vipeperush vya voda vinamulazea bwana mdogo january karibu kila familia inavpeperush 3 jimboni na n nivya gharama sana.yan january na mwamvita hatuwezi kuwatofaitsha.january hana alilotenda jimbo la bumbuli kama analo aje athibitishe hapa.hakuna jipya ambalo atawaletea wanabumbuli na tz.kama ni hivyo tusimjadili riz na barik nk.
 
kilichofanyika ni kumnyamazisha J.Makamba,wala si kwa ajili ya utendaji

angeweza kupewa u/waziri wizara yoyote ili aache kuchonga
 
and then so what? does she own voda? was she responsible for his appointment? Mke wako akiwa nesi wewe huwezi kuwa mganga mkuu? Mkeo au Dada yako akiwa mwalimu wewe huwezi kuwa mwalimu mkuu. Jamani tutofautishe undugu na uwajibikaji wa Umma mnaweza kuwa mmezaliwa tumbo moja lakini hamuivi kabisa

Uko sahihi,wabongo kwa kuunganisha dots hatujambo....... Mwamvita si mmiliki wa Vodacom. Just en employee.
 
Aliefaa kuteuliwa unaibu waziri si January bali Yusuf Makamba if I may say so.
 
and then so what? does she own voda? was she responsible for his appointment? Mke wako akiwa nesi wewe huwezi kuwa mganga mkuu? Mkeo au Dada yako akiwa mwalimu wewe huwezi kuwa mwalimu mkuu. Jamani tutofautishe undugu na uwajibikaji wa Umma mnaweza kuwa mmezaliwa tumbo moja lakini hamuivi kabisa
Bora ninyi mmezaliwa tumbo moja na mnaivana,hata kikazi,...naibu waziri mawasiliano na voda hongereni!!(kiukweli kweli)
 
Unaibu wa Makamba is total regardness na u-voda wa mwamvita.

Kitu cha muhimu hapa ni kujua uhusiano mkubwa uliopo baina ya makampuni ya caspian na vodacom na waheshimiwa EL na mheshimiwa wa 'siasa uchwara', na tusisahau kuwa hata Ngeleja alikuwa mwanasheria wa Vodacom akaja kulinda kupata pesa za kuingiza huko kwa njia ya kuuza mitambo ya richmond badala ya kuifilisi. Kwa hiyo hoja hii ina msingi mkubwa maana VODACOM ni mali ya hao jamaa kwa hiyo wanamweka Januari azidi kulinda maslahi yao. Atakapotoka Makamba labda ataingia Peter Dalali Kafumu.

Watanzania tufunguke tukatae uteuzi wa kulinda genge la wahuni
 
you put my memory well as well as sighting clearly my thinking connection about this.mnajua mzee wa siasa uchwara ndo alikua na bifu na mzee shellukindo na kuamua kumsposor January akamng,oe mzee shelikindo kwa wakazi wa jimbo la bumbuli wanajua hili kwan kwenye kata ya mgwashi baada ya dogo kuandaliwa mazingira mnara wa voda ulijengwa fasta na nkumbuka kampeni zilianza tareha 25/8/2009 na kitongoji cha kito ndo kwa mara ya kwanza wapambe wa january alikuaja kumwaga pesa kwenye nyumba ya kijana anaitwa shauri gilla na vipeperushi ving vya voda vilitolewa karibu kila nyumba kumuelezea january kuwa amesoma marekan anawafadhili.yan voda na january huwez kutofautisha na he is there to protect interests of mafisadi nothing else na kufuru aliyofanya wakati wa kampen huyu bwana mdogo asije fananishwa na makamanda wa chadema hata siku moja ni nyoka tena cobra.January hawez kuitwa msafi hata kidogo kama hamuamini mtu ajitolee akafanye utafit mdogo ndani ya jimbo na kuulilza pesa alizo gawa january je alipa wap kama hakupewa na mafisadi kuja kumuondoa mzee mwadilifu wa chama cha magamba yasiyochunuka
 
Back
Top Bottom