January.....na kelele za kila mwaka..

lol me nadhan hapa baada ya kutumbua hela december kwa mavocation, spendin za ajab na lkiizo izo lazima january ionekana ngumu.
but ukijipanga ukawa ndan ya ratiba. huu mwez mbona hauwi dume tena utakuwa jike.
 

Same here, January ni kujiandikisha ukajua ngapi zinarudi, Febuary full kula bata. Unaingiziwa kitita hicho ambacho ulikuwa hujakipangia mahesabu! ...I love January
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…