Nnangale
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 2,664
- 1,375
Maelezo ya kijinga tu,Kila kitu kina standby hiyo ya kuzima ili kufanya service ni Mambo yao tu,muda wa kula kulingana na urefu wa kamba, maendeleo siyo lengo lao,muhimu mtoto wa nani.Ndugu, yaani miaka mitano mitambo itumike bila matengenezo yeyote?