Na mimi nilipata nafasi ya kuwasikiliza.Ilikuwa upuuzi mtupu.Ninalotaka kuwaambia CCM ni kwamba, watanzania tunaona ujinga wao,na tunaakili ya kuweza kutenganisha chuya na mchele.Tunawasubiri 2015.
Mkuu nape na january shule wameenda na wanauelewa mzuri wa siasa na utawala wa nchi yetu. Ila matumbo yao yanawafanya kutetea na kupigania kile ambacho hata wao hawakiamini
Yaani nilikuwa nafuatilia kipindi huku napata chakula taratibu lakini baada ya Nape kuanza kuongea utumbo hata chakula changu kilikwisha ladha pale pale ikawa kama nakula makapi, eeeti ccm chama cha wanyonge analazimishia mimi nadhani hawa madogo wamelewa baada kushiba,maana wazito wengi baada yakuona mambo magumu wamenyamaza kimya lakini madogo baada ya kupewa vitonge wanajaribu kuisimamisha maiti,lakini akili zao wenyewe tayari zinajua ningumu kutembea ila kwasababu kunatonge wanaendelea kufanya comedy ila vijana kama hawa wanatia kichefu chefu.
the look on jenerali's face tells a lot! Kashamaliza kipindi zamaaani kwa sababu wanakwepa sana maswali,hawatoi majibu ya msingi. Kawaachia tu wabwabwaje mpaka kipindi kiishe.