January Makamba na Nape Nnauye on Jenerali Ulimwengu on Monday

Na mimi nilipata nafasi ya kuwasikiliza.Ilikuwa upuuzi mtupu.Ninalotaka kuwaambia CCM ni kwamba, watanzania tunaona ujinga wao,na tunaakili ya kuweza kutenganisha chuya na mchele.Tunawasubiri 2015.

Sema kwa niaba yako na si kwa watanzania wote. Unadhani kudanganywa kwako kuko sawa na watanzania wote?.
.
CHAFUA JINA, JENGA AFYA
 
Very shameful, hawajibu hoja wanajibu rangi ya chama.
Heshima kwako mwanaharakati Jenerali Ulimwengu.

May take: Watanzania tujitahidi sana kuwapeleka watoto wetu shule na tuhakikishe wanaelewa wanachofundishwa.



Mkuu nape na january shule wameenda na wanauelewa mzuri wa siasa na utawala wa nchi yetu. Ila matumbo yao yanawafanya kutetea na kupigania kile ambacho hata wao hawakiamini
 
Nape analazimisha ccm ni chama cha wanyonge, kinatetea watu wa hali ya chini, kweli kazi hipo...

Yaani nilikuwa nafuatilia kipindi huku napata chakula taratibu lakini baada ya Nape kuanza kuongea utumbo hata chakula changu kilikwisha ladha pale pale ikawa kama nakula makapi, eeeti ccm chama cha wanyonge analazimishia mimi nadhani hawa madogo wamelewa baada kushiba,maana wazito wengi baada yakuona mambo magumu wamenyamaza kimya lakini madogo baada ya kupewa vitonge wanajaribu kuisimamisha maiti,lakini akili zao wenyewe tayari zinajua ningumu kutembea ila kwasababu kunatonge wanaendelea kufanya comedy ila vijana kama hawa wanatia kichefu chefu.
 
Ama kweli la kuvunda halina ubani pamoja na kelele zote za nape mpaka mwisho wa kipindi sijamulewa kabisa anachojaribu kutetea
 
the look on jenerali's face tells a lot! Kashamaliza kipindi zamaaani kwa sababu wanakwepa sana maswali,hawatoi majibu ya msingi. Kawaachia tu wabwabwaje mpaka kipindi kiishe.
very good observation umemaliza....wamepwaya haki ya nani mpaka aibu pole nchi yangu tanzania...inauuma sana kuwa na vionngozi wa caliber hii duh....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom