January Makamba (Mb) amepatwa na nini?

..nimemwona couple of weeks back akiwa na kigwangala..wote wamechoka kichizi...hata kunyoa midevu wanasahau siku hizi kudadeki....wanasoma namba kiaina....wakikohoa tu hawana chao mbele ya bashite na bwana Mkubwa....wao wanachoka...lakini bashite ananona.....the irony of this dictatorial regime in tz...
 
Presidential material! Come on; have we not learnt anything in the past ten or so years? Labda kama baada ya kufululiza kufanya makosa sasa Urais umegeuka kuwa URAHISI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…