January Makamba: CCM ni 'progressive party' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

January Makamba: CCM ni 'progressive party'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EMT, May 10, 2011.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Katibu wa Mambo ya Nje ya Sekreatariet ya CCM Mh January Makama amesema kuwa "CCM ni 'progressive party', hivyo lazima kirudi katika msingi wake ambao ni kuleta maendeleo ya jamii kwa kuisimamia serikali ili itumie rasilimali zilizopo kwa faida ya Watanzania wote". Soma zaidi: Makamba: CCM inarudi kwenye msingi.

  Lakini baada ya kuiweka hii Facebook, watu wamemchachafya almost kama walivyofanya kwa Mh. Nape Mnauye na Dk Hamis Kigwangala kwenye status zao wiki iliyopita. Zile comments, nilizokuwa naziona mwaka jana "Go Makamba!", "I trust You!" "You can do it!", etc, hazionekani. Hawa vijana wana kazi kubwa mbeleni.

  "Wenye akili tukajua" - Mwalimu Nyerere
   
 2. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Hivi january makamba anaweza hata kueleza hiyo sera ya mambo ya nje ya chama chake. Kwanza CCM wanayo sera ya kueleweka . Au everyone who has ever worked at MOFA basi anapachikwa tu.
   
Loading...