hivi siku hizi watu wamekosa hoja? Hiki ni nini sasa tunajadili hapa?
gumzo na baadhi ya vijana kwenye kijiwe cha bodaboda kariakoo jioni ya leo. Kila mmoja ana historia na ndoto mahususi za maisha yake. Wote wana maoni mengi namna gani mtu mmoja mmoja na pia nchi inaweza kufika pale tunapotarajia katika ngazi ya maendeleo na uwajibikaji. Ni jambo jema na la kutia moyo sana kuona vijana wana mtazamo chanya na mpana namna hii kuhusu hatima yao na nchi yao.
askofu mokiwa mwendawazimu tu na filauni mkubwa...alimpiga kidole cha mk...nd mchungaji mtikila wakapuruzana mpaka mahakamani,ndiyo maana alinyang'anywa uaskofu kwa upuuzi wake na ufilauni wake.hatutakubali kuongozwa na wanyoa unga_askofu valentino mokiwa.
Hivi amefanya nini hadi tuwe na ushabiki huu? jamani tuwe makini fikirini au tutakuwa na miaka mingine 10 ya kulia na kusaga meno kama hii 10 tunayoimaliza kwani ni maumivu kila kona!:yell:
kila kiongozi anawakimbilia hao bodaboda wanawatongoza ili wawachote akili zao.....
January anafanya kazi nzuri ya Ubunge. Pia ananisaidia sana kwa kazi ya Wizara niliyompa. Unajua January alipogombea Ubunge alinificha. Nilikuwa nasikia kwa wenzake tu pale ofisini. Baadaye alivyoweka mambo yake sawa ndio akaja kuniambia kwamba Mzee na Mimi najitosa. Nikamtakia heri. Kwa kweli kwa jinsi anavyohangaika na Jimbo lake inaonyesha Ubunge aliutaka Kwa dhati kabisa ya kusaidia watu wa Bumbuli. Nimesikia anafikiria mambo makubwa. Hajaniambia. Mi Nimesikia tu. Namtakia kila la heri. Haya mambo anaamua Mungu. Wala hayalazimishwi. Mungu akitaka linakuwa hata kama watu wote hawataki. Mungu akiwa hataki hata kama mtu ukitaka jambo hilo vipi haliwezi kuwa. Mimi nilishauriwa na Mzee mmoja kwamba jambo likifika wakati wake utalipata hata kama utapingwa kiasi gani. Kama halijafika wakati wake haliwezi kutokea. Mimi niligombea 1995 sikupata kwasababu haikuwa wakati wake. 2005 ikawa wakati wake nikapata. Na wewe usipopata sasa usiweke nongwa.But wishes are only granted in fairy tales.
Watanzania ndo wamekua wapumbavu kiasi hiki??
"But wishes are only granted in fairy tales."
Kijana amewatembelea vijana wenzake.