January Makamba awa gumzo Kariakoo


 
upuuzi mwengine waaina yake huu.
watanzania tuna matatizo sana. pengine hata mtu akishajuana na wazungu wawili tu anautaka urais. nyalandu kwa upande wake alikuja na single kuwa wazungu wanataka awe rais.
 

View attachment 200778View attachment 200780View attachment 200781 wakuache tu.
 
Kariakoo ya mpitimbi au kariakoo yenye mitaa kama narunng'ombe, aggrey, sokoni, etc?
 
kwahiyo huyu makamba anakubali kwamba na yeye yupo kwenye genge la walafi?

si kweli kwamba ukiwa na rafiki mwizi lazima na wewe uwe mwizi,tena bora ya janauary makamba kuliko hao mnaodhani wanafaa kuwa viongozi wa taifa hili.
 
siyo kweli bhana,wewe umesikia anakashfa yeyote kulinganisha na hao viongozi wengine waliotangaza nia ya kuutaka urais?

Unaweza kutuambia ni nini ambacho amefanya huyu dogo kikawa na impact kwa taifa ukiisha tuwekea pima na aliyoyafanya Lowasa ambae anaonekana ni fisadi.
 
Gumzo lipo wapi? Hapo alipo alikuwa anaangalia hilo gorofa jipya la homeshoping.

Hivi kariakoo unaijua ama unaisikia?

Poleni sana na huyo kipara wenu
 
kama umtaki wewe na wengine hawamtaki siyo?hacha ujinga wa kubuluzwa na wajinga wajinga wenzio.

Duh!!! haya ni matumzi mabaya ya fedha za walipa kodi yaani hata kinyago kinagawa fedha eti kipigiwe kampeni hapa JF kuhusu urais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…