gumzo na baadhi ya vijana kwenye kijiwe cha bodaboda kariakoo jioni ya leo. Kila mmoja ana historia na ndoto mahususi za maisha yake. Wote wana maoni mengi namna gani mtu mmoja mmoja na pia nchi inaweza kufika pale tunapotarajia katika ngazi ya maendeleo na uwajibikaji. Ni jambo jema na la kutia moyo sana kuona vijana wana mtazamo chanya na mpana namna hii kuhusu hatima yao na nchi yao.
Nmetoka kapa kabisa hapa!
----- mtupu
vijana tuamke tujipiganie wenyewe vijana tusikubali kuongozwa na wazee tu kila wakati,wakati ndio huu wa kijiongoza sisi wenyewe.kila la kheri ndugu january makamba.
vijana tuamke tujipiganie wenyewe vijana tusikubali kuongozwa na wazee tu kila wakati,wakati ndio huu wa kijiongoza sisi wenyewe.kila la kheri ndugu january makamba.
suala ni vijana tujitawale ata zitto anaweza si kijana bhana.chamsingi tuwaunge mkono vijana wenzetu pale wanapoonyesha nia ya kutaka uongozi sehemu yeyote.Kijana amewatembelea vijana wenzake.
Hivi siku hizi watu wamekosa hoja? hiki ni nini sasa tunajadili hapa?
alikuwa wapi toka 2010 imebak miezi kadhaa ndo kawaona wamaana,mtoto wa fisadi naye ni fisad tu
watanzania ndo wamekua wapumbavu kiasi hiki??
Watanzania ndo wamekua wapumbavu kiasi hiki??
kila kiongozi anawakimbilia hao bodaboda wanawatongoza ili wawachote akili zao.....
hacheni mambo ya kukashifiana humu,eti watanzania ndo wamekua wapumbavu kiasi hiki?wewe ni nani sasa au mwenzetu mrundi?kama utakuwa ni mtanzania basi na wewe ni mpumbavu vile vile.