Anajitambua, nae hapendi watu wa namna hiyo, Kikwete alimwambia ni muhimu kulea viongozi vijana ili waweze shika hatamu baadae, sio kuwafunika, hajaelewa tu!
Kweli wengi ila wanaweza kuwa wote jamii ya hapi, bashite, kigwangala, nchemba hao wala haina haja ya kuwalea! Bahati mbaya ndio wanalelewa sijui wafike wapi!