Hajitambui huyo mkuu
arudi akajipange asicheze na nguvu ya umma
Shame on him
Akiongea na vinaja wa CCM wa umoja sijui wa vyuo vikuu.Dongo kaanza na misemo maarufu ya mwalimu..Eti wana mbinu, wana nia ya kushinda.Na thisi time eti wataishinda na kuimaliza CDM km NCCR..Dogo anakiri kuwa waliiua NCCR.na wana Nia na CDM..Ila anasahau kuwa hata kam kweli wangekuwa wanaweza si kauli ya mtu anayejua democrasia.Wao kuua wengine ndio kushindana.
Namhurumia sana dogo ,kaona maigizo yao bado yanamdanganya kuamini kuwa CDM ipo ktk hali ngumu.
Ukweli mtupu kasema
makamba january ni zaidi ya vjana wote wa chadema
Ukweli mtupu kasema
makamba january ni zaidi ya vjana wote wa chadema
Dogo hajitambui role yake. Yeye hajaota meno anataka kuendesha daladala wakati anafaa kupiga debe kwa sasa. Halafu anakifu kwa ubinafsi eti katiba ibadilishwe kuruhusu watoto kama yeye wagombee urais. Kitendo cha kutojitambua naona ni kosa kubwa na huenda wazee wasimsamehe. Sijui kwa nini hashtuki yanayompata mwenzake zitto.Akiongea na vinaja wa CCM wa umoja sijui wa vyuo vikuu.Dongo kaanza na misemo maarufu ya mwalimu..Eti wana mbinu, wana nia ya kushinda.Na thisi time eti wataishinda na kuimaliza CDM km NCCR..Dogo anakiri kuwa waliiua NCCR.na wana Nia na CDM..Ila anasahau kuwa hata kam kweli wangekuwa wanaweza si kauli ya mtu anayejua democrasia.Wao kuua wengine ndio kushindana.
Namhurumia sana dogo ,kaona maigizo yao bado yanamdanganya kuamini kuwa CDM ipo ktk hali ngumu.
Akiongea na vinaja wa CCM wa umoja sijui wa vyuo vikuu.Dongo kaanza na misemo maarufu ya mwalimu..Eti wana mbinu, wana nia ya kushinda.Na thisi time eti wataishinda na kuimaliza CDM km NCCR..Dogo anakiri kuwa waliiua NCCR.na wana Nia na CDM..Ila anasahau kuwa hata kam kweli wangekuwa wanaweza si kauli ya mtu anayejua democrasia.Wao kuua wengine ndio kushindana.
Namhurumia sana dogo ,kaona maigizo yao bado yanamdanganya kuamini kuwa CDM ipo ktk hali ngumu.
Dogo hajitambui role yake. Yeye hajaota meno anataka kuendesha daladala wakati anafaa kupiga debe kwa sasa. Halafu anakifu kwa ubinafsi eti katiba ibadilishwe kuruhusu watoto kama yeye wagombee urais. Kitendo cha kutojitambua naona ni kosa kubwa na huenda wazee wasimsamehe. Sijui kwa nini hashtuki yanayompata mwenzake zitto.