anashanga watu kama John Mnyika na Halima Mdee wamefikaje bungeni wakati sio matajiri kama yeye.
Alikuwa anachangia hutuba ya Rias akamnukuu mwanasiasa wa marekani aliyeingia Bungeni kwa mara kwanza kuwa mwaka wa kwanza na wapili hakuzungumza alipoulizwa kulikoni akajibu alikuwa anajifunza mwaka wa kwanza alikuwa anashangaa amefikakafikaje mjengoni, mwaka wa pili alikuwa anashanga baadhi ya wabunge wasio na uwezo akiimanisha wapinzani wamefikafikaje humu.Mkuu Ulimali,
tufafanulie zaidi, ilikuwaje mpaka akafikia kuongea hayo
anamtaka HM kwa gia hiyo?
hahaha!!
kweli wanaume wengine suruali!!!
yaani huyu januari ananiudhi na sura yake kama mgonjwa wa ukoma
mbona yule HM ukimnunulia bia tu unabeba? mbona unampandisha chati sana
Mwaka huu ni kulalamika mwanzo mwisho, mbona januari hivi mbona lowasa vile na huyu mwakyembe sijui...na bado hadi mlie
yaani huyu januari ananiudhi na sura yake kama mgonjwa wa ukoma