Miaka 50 ya Uhuru inapita huku bado nchi yetu imeshindwa kupiga hatua katika sekta ya nishati, serikali imeshindwa kulinda maliasili, wanyama kama twiga wanatoroshwa na kuuzwa kwa bei ya sawa na bure , ..... na matatizo mengine lukuki. je, tatizo ni nini? Nchi yetu bado changa? Watanzania tumelogwa na CCM? ama ni kitu gani hasa??!!! karibu kutoa maoni yako
wacha wapige mdundiko wa kutosha si wameshiba bwana
baada ya hapa njaa mpaka kwenye kope za macho
ndo watajuta kujaza matumbo kwa siku
moja af unakaa miaka chungunzima na tumbo empty
watoto hawaendi shule
hosptal hakuna
kweli njaa mbaya saaaaana
there are times, nahisi labda Hii nchi imefungwa kwenye "ulimwengu wa roho" coz the way mambo yanavyoenda dah, I am sure the probs are above the physical/visible levels