mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 1,136
- 1,913
Kelele zimepigwa sana kuhusiana na huduma ya internet nchini lakini hakuna lolote acha tupige na sisi
- Wasitupe maelezo kuwa kuna program za kifaa kinatumia bando.
-Ulimwengu bila huduma rafiki za internet tutaendelea kuwa wasindikizaji tu. Tunashindwa kujiajiri au kufanya biashara za mtandaoni na hata kujiendeleza kielimu.
- Bei juu za huduma ya internet.
- Ukizoea line fulani kwa muda kinachotokea bando la internet linaisha mapema isivyo kawaida.
- Wengine ukijiunga bando la internet mtandao unapotea zikikaribia kuisha mtandao unakaa sawa.