Mr Ambassador Member Joined Sep 3, 2012 Posts 13 Reaction score 2 Oct 4, 2012 #1 Inaonyesha Yanga wamefurahi kimoyomoyo kukosekana kwa Okwi na Maftah laa sivyo wangekaa nne jana. Maana walishangilia vibaya mno.
Inaonyesha Yanga wamefurahi kimoyomoyo kukosekana kwa Okwi na Maftah laa sivyo wangekaa nne jana. Maana walishangilia vibaya mno.
Anselm JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 1,710 Reaction score 291 Oct 4, 2012 #2 Nonsense Ngalema alicheza vizuri kuliko hata amabavyo angecheza huyo Maftah wenu
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,270 Oct 4, 2012 #3 Anselm said: Nonsense Ngalema alicheza vizuri kuliko hata amabavyo angecheza huyo Maftah wenu Click to expand... Ngalema ni mzuri sawa lakini tofauti na Maftah, Maftah anazuia na anapandisha timu kitu ambacho Ngalema hakuwa nacho jana.
Anselm said: Nonsense Ngalema alicheza vizuri kuliko hata amabavyo angecheza huyo Maftah wenu Click to expand... Ngalema ni mzuri sawa lakini tofauti na Maftah, Maftah anazuia na anapandisha timu kitu ambacho Ngalema hakuwa nacho jana.
Bwana Mapesa JF-Expert Member Joined Apr 28, 2011 Posts 2,551 Reaction score 1,777 Oct 7, 2012 #4 Walianza kushangilia tokea siku aliyotolewa kwa kadi nyekundu.
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,360 Oct 7, 2012 #5 Masuke said: Ngalema ni mzuri sawa lakini tofauti na Maftah, Maftah anazuia na anapandisha timu kitu ambacho Ngalema hakuwa nacho jana. Click to expand... Ngalema alicheza vizuri, lakini nakubali Okwi pengo lake lilionekana.
Masuke said: Ngalema ni mzuri sawa lakini tofauti na Maftah, Maftah anazuia na anapandisha timu kitu ambacho Ngalema hakuwa nacho jana. Click to expand... Ngalema alicheza vizuri, lakini nakubali Okwi pengo lake lilionekana.
Mkirua JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 5,647 Reaction score 2,513 Oct 7, 2012 #6 Mr Ambassador said: Inaonyesha Yanga wamefurahi kimoyomoyo kukosekana kwa Okwi na Maftah laa sivyo wangekaa nne jana. Maana walishangilia vibaya mno. Click to expand... Mie nimefurahi maana simba 11 ukiongeza mwamuzi na line 2 dhidi ya 10 wa Yanga ...si mchezo.
Mr Ambassador said: Inaonyesha Yanga wamefurahi kimoyomoyo kukosekana kwa Okwi na Maftah laa sivyo wangekaa nne jana. Maana walishangilia vibaya mno. Click to expand... Mie nimefurahi maana simba 11 ukiongeza mwamuzi na line 2 dhidi ya 10 wa Yanga ...si mchezo.