Jangwani: Lissu amenisikitisha!


lissu hajawahi kuwa muungwana na jazba siku zote zinamtawala,kwa jinsi ulivyomuelewa nakubaliana na wewe 100%.
 
Embu huo upuuzi nendaa kaadisiane na familia yako ila cyo hapa,kwa kuwek M kwemye NOmino kunaleta tafusiri gani??
 

Ilikuwa inarushwa ITV pia.Au uliamua kutumia radio tu.
 
MACCM, MACCM, MACCM, tena MICCM, MICCM, MICCM. Hilo ndilo jina lenu Mamndenyi & Co. usikasirike nenda tu pale Lumumba kachukue za week end.
Namshangaa mleta hoja, ati alikuwa anasikiliza hotuba ya Jangwani. Kumbe Li ccm lililkuwa linategea lipate neno la kuendea kilabuni.
Poleni MACCM yooteeeeee pamoja na MICCM yooooooteeeee
 
lissu hajawahi kuwa muungwana na jazba siku zote zinamtawala,kwa jinsi ulivyomuelewa nakubaliana na wewe 100%.

Kunausemi unasema ukicheka na nyani utavuna mabua!!
Atakuwa anaujuwa vizuri huu usemi bila shaka huu usemi!!
 

Lugha aliyotumia Lissu ni ya kawaida sana tu. Nothing wrong.
 

Badala ya kwenda kutafuta kinywaji may be gongo ungetumia zile panadol walizo kamatwa nazo wale wasichana kule SA zingeondoa maumivu effective .ungemsikiliza mh tindu bila maumivu ya tumbo
 
Mimi nimesikitishwa na wewe. Yaani sikujua kama watu maskini wa mawazo kama yako wapo Tanzania. Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…