[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama nkya yupo? Kunga je? Mkisi? Dah long time kitamboo
Nilijua comment yako itaishia na ujingamashavu kumbe ulisoma hapo?
Yes Ndio mm,na niliwala sana[emoji41]
Mi nikajua siku hizi karibu kila shule watu waliosoma pamoja wana group la Whatsapp, nyie hamjaanzisha?Habari zenu wana jamvi, jamani wale tuliomalimaliza Jangwani high school 2006 tupo wapi? hamuonekani? yani niliokutana nao wachacje sana. Jamani mpooooo. kama ww ulisoma miaka ya 2003 to 2006 . tukutane hapa jameni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Mshana Jr ni KE?Niliwahi soma cv ya mshana jr mahali kuwa alihitimu hapo jangwani, ngoja aje labda huu uzi utakuwa unamhusu...
Halafu ule mwaka ambao bashite alikuwa kaka mkuu ni upi pale?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mama nkya yupo? Kunga je? Mkisi? Dah long time kitamboo
Jangwani wanafundisha ulozi?Niliwahi soma cv ya mshana jr mahali kuwa alihitimu hapo jangwani, ngoja aje labda huu uzi utakuwa unamhusu...
Halafu ule mwaka ambao bashite alikuwa kaka mkuu ni upi pale?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Eeee
Madam Tarimo, Mama Siara hajawafundisha nyie?
Kijana wa NgozyeNaona majirani mmefungua uzi kabisa, nipo hapa Azaboi 2005-2008, 2009 -2011
Sent using Jamii Forums mobile app