baunsa wa kike
Member
- Jul 25, 2014
- 83
- 36
I'd yako inafanania na mikwala ya mama nkyaHabari zenu wana jamvi, jamani wale tuliomalimaliza Jangwani high school 2006 tupo wapi? hamuonekani? yani niliokutana nao wachacje sana. Jamani mpooooo. kama ww ulisoma miaka ya 2003 to 2006 . tukutane hapa jameni
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi soma cv ya mshana jr mahali kuwa alihitimu hapo jangwani, ngoja aje labda huu uzi utakuwa unamhusu...
Halafu ule mwaka ambao bashite alikuwa kaka mkuu ni upi pale?
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikikumbukaga disco vumbi [emoji23][emoji23][emoji23]Habari zenu wana jamvi, jamani wale tuliomalimaliza Jangwani high school 2006 tupo wapi? hamuonekani? yani niliokutana nao wachacje sana. Jamani mpooooo. kama ww ulisoma miaka ya 2003 to 2006 . tukutane hapa jameni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana,ila ni mlinzi wenu[emoji41]
Me najua wa kilakala always ni bright
Mkutane 7,800
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana,ila ni mlinzi wenu[emoji41]
mashavu kumbe ulisoma hapo?
Mama nkya yupo? Kunga je? Mkisi? Dah long time kitamboo