Jangili aliwa na Simba Mbugani

Hao Simba na Tembo wamekosea sana, ilitakiwa Mtuhumiwa apelekwe mbele ya sheria, na awataje wenzake.
 
Nalich
Nalichukia sana jina lako la zomboko ni baya hadi nakuchukia na wewe mwenyewe
 
Walijuaje kama alikanywagwana Tembo kisha kuliwa na simba na sio chui? Au aliliwa na simba/chii ndo akakanyagwa na Tembo?
Wamejuaje kama alikua Jangili?
Wanasema mbuga ya Kruger ni hatari Sana Na haiingii yeyote kwa miguu isipokua jangili
watalii wote wanakua Na usafiri na waongozaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…