GE2025 Janeth Mtiba achukua fomu ubunge Tarime Mjini

GE2025 Janeth Mtiba achukua fomu ubunge Tarime Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Janeth Mtiba (kushoto) leo Jumatatu Juni 30, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge Jimbo la Tarime Mjini.

Janeth amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Tarime, Hamza Adam.

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Janeth Mtiba (kushoto) leo Jumatatu Juni 30, 2...jpg
 
Esta matiko aampishe huyu kama kuna kigezo cha kuchagua mbunge mwanamke
 
Back
Top Bottom