jane-000 hitaji lako limejibiwa

Teh mbona wewe una mapungufu ila kayakubali na yuko tayari kuyabeba maishani mwake???
Usipoteze bahati Jane...kumbuka ukimkosa huyo hutapata mwanaume utakayewezana nae tena...ooh shauri yako

wee mshenga nini?
 
I can't help try somewhere else nenda kwamacheni au manzese

au kwa kuwa wewe viwanja vyako ni KONA BAR na MEDA??
Ndo unajiona matawi??

Kulia na kucheka zote ni kelele.
 
Wala usiogope ! Yeye ana hasira na wenye vocabulary mbovu!
Ila kama ulishasoma English figure, hana tatizo we nyumbulika tu!

nashukuru kwa kunielimisha kuhusu hasira yake,naweza kuchangia sasa.
 
no body will have me in jf coz most of you still using parents power
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…