Olsea
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 473
- 297
Habari zenu wakuu,naombeni msaada jamani hata wa kimawazo pc yangu imepatwa na tatizo la ajabu,ni kwamba ukiwasha ikija sehemu ya kulog in ukitaka kutype password mouse na keybord vyote havifanyi kazi,tatizo hili limeanza jioni hii na nahisi ni kutoka na ukweli kwamba hii pc ina synaptic setting za mouse so mouse yake ilikua nzito kweli nikaingiza drivers za synaptic pointing devices mouse ikawa faster kawaida,sasa kila nikiwasha laptop kuna ujumbe kuhusu synaptic setting ukawa unakuja nikapatwa na hasira nikaamua ku unstall zile drivers nilizoingiza,jioni hii kutaka kutumia pc naona butons hazifanyi kazi labda ukishika fn na arrow keys zinafanya kazi,nisaidieni jamani kwani nimeshindwa kabisa na nahisi kuchanganyikiwa kama sio kufa kufa maana hii pc haijamaliza hata mwezi tangu niinunue