Mpira wa kugonga mkono sio lazima iwe ni foul, inategemea mkono uko katika position gani (Normal or Abnormal) mabadiliko ambayo yalifanywa toka mwaka juzi kitu ambacho wengi hawaelewi.
Kwa muktadha huo basi kwa scenario ya jana haikuwa penalty kwani mkono haukunyanyuliwa juu na mpira ukaugonga pale pale kwenye position ambapo mkono unatakiwa uwe kiasili (Natural Position).