Jana nimesali kanisa moja na asumpta mshana

Jana nimesali kanisa moja na asumpta mshana

Mkuu hunishindi mimi nimecheka sana mpk wife kaamka kuja seating room kunicheck nimekutwa na nini!!!sasa sijui alitaka baada ya kupokea aitupe au vp...au kaona asumpta ni celebrity hivyo Ana-feel proud kusali nae!!!!dah sikutegemea

Umecheka kwasababu hujui Ukatoliki na Kukominika!
 
Mkuu hunishindi mimi nimecheka sana mpk wife kaamka kuja seating room kunicheck nimekutwa na nini!!!sasa sijui alitaka baada ya kupokea aitupe au vp...au kaona asumpta ni celebrity hivyo Ana-feel proud kusali nae!!!!dah sikutegemea

Itabaidi aje atusaidie kujibu manake daah....ila watu wana maneno saana Mwenyewe akisoma hii thread cjui atajickiaje
 
yule mama aliongea pumba sana siku ile yaani alichosha
 
Jana nimesali kanisa moja na asumpta mshana na amepokea sakramenti kama kawaida

Kama unamzungumzia mbunge wa Nkenge, huyo anaitwa ASUMPTA MSHAMA na siyo ASUMPTA MSHANA...

MSHAMA ni jina lenye asili ya mkoa wa KAGERA

MSHANA ni jina lenye asili ya mkoa wa KILIMANJARO-UPARENI

Nashauri urekebishe hilo jina kwenye heading yako ili kuipa nguvu hoja yako...

Tafakari...
 
hakuna kanisa linadhaminiwa na wahuni wa ccm kama huyu mama

Kill 3;
Hiyo ilikuwa zamani sana tulipokuwa tunaswali Kilatini. Mungu wa siku hizi mhhh naona kazeeka. Kama Bishop anajikunjia zake, na Mapadre wakajikunjia zao, ukiangalia mzee Rugem alivyolitundika lile lirozari kilo 5.
Ufadhili wa hao watu ndio unao waweka viti vya mbele. Tena in good faith huenda hao ndo wasimamizi wakuu.
 
Kama unamzungumzia mbunge wa Nkenge, huyo anaitwa ASUMPTA MSHAMA na siyo ASUMPTA MSHANA...

MSHAMA ni jina lenye asili ya mkoa wa KAGERA

MSHANA ni jina lenye asili ya mkoa wa KILIMANJARO-UPARENI

Nashauri urekebishe hilo jina kwenye heading yako ili kuipa nguvu hoja yako...

Tafakari...
Ahsante mkuu. Wengi wanachanganya hili jina
 
Nimecheka sana kwahiyo ilitakiwa aiteme
tatizo mabinti masharobaro hamjui hata nchi inavyoenda,huyo mama ni kati ya wabunge waliochangia pumba na matusi bunge la escrow akitetea wezi.sasa inashangaza kuona ni muumini ambaye tunategemea angongozwa na busara
 
Tuwekeeni picha yake mwenye nayo, nilimuona kidogo wakati anatema ushudu kwenye mjadala wa escrow, huyu mama ni kituko.
 
Huwa wanasali sn,ht sie musoma mara nyingi sn huwa tunasali na gaudensia kabaka. Kwa wanaosali misa ya pili mwembeni watakubaliana na mm na huwa anapokea ht sakrament. Na huwa tunaona jambo la kawaida.
 
Back
Top Bottom