NYEREGENDA
Senior Member
- Nov 21, 2014
- 174
- 30
Jana nimesali kanisa moja na asumpta mshana na amepokea sakramenti kama kawaida
Jana nimesali kanisa moja na asumpta mshana na amepokea sakramenti kama kawaida
Jana nimesali kanisa moja na asumpta mshana na amepokea sakramenti kama kawaida
Mkuu usishangae kusikia huyo ndio mfadhiri wa kanisa hilo anakubalika kwa sbb anatoa sadaka nyingi
Jana nimesali kanisa moja na asumpta mshana na amepokea sakramenti kama kawaida
==Ulienda kusali au kupeleleza na kuangalia vimini? Lipi la ajabu mtu kupewa sakramenti? Jipime akili kwanza. Post haina maana kabisa...!Jana nimesali kanisa moja na asumpta mshana na amepokea sakramenti kama kawaida
Jana nimesali kanisa moja na asumpta mshana na amepokea sakramenti kama kawaida
Mkuu hunishindi mimi nimecheka sana mpk wife kaamka kuja seating room kunicheck nimekutwa na nini!!!sasa sijui alitaka baada ya kupokea aitupe au vp...au kaona asumpta ni celebrity hivyo Ana-feel proud kusali nae!!!!dah sikutegemeaNimecheka sana kwahiyo ilitakiwa aiteme
Mkatoliki aliye jiandaa ndiye pekee anapokea Sakramenti. Huyu mama anajiita Mchungaji akisali ktk Vikanisa vya Ujasirimali ilikuaje akakubaliwa kupokea Sakramenti?!Sasa alitakiwa afanyeje baada ya kuipokea? Au ulitaka kusema hakupaswa kwenda kupokea?