flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,856
- 6,442
Zimepita kama siku tatu nimefahamiana namdada, yeye nimgeni maeneo haya nilipo kwamujibu wamaelezo yake amekuja kufata biashara. Amefikia Lodge nahiyo Lodge ndio karibu namimi napopigia mishemishe zangu kama barabara yapili hivi.
Katika mazoea yahapa napale akaanza kunikonyezakonyeza akawa anakuja kukaa hapa kistoni kwangu kwamasaa mengi tunapiga story. Akanipa nastory kuwa mzazi mwenzie alifariki kwenye kile kivuko chamwanza mwaka jana natoka wakati ule ajajihusisha namapenzi kwahiyo yupo single.
Sasa jana alipokuja mchana ndio akaniambia yeye ananitembelea ila mimi hata simtembelei alipofikia leo (jana) nijitahidi niende kumtembelea nikishafunga ofisi, nikamjibu poa usijali, ila akanijibu nikienda nimpe mda zaidi wakunijua ikibidi tulale kabisa. Nikajisemea kimoyomoyo mbuzi kafia kwampika supu.
Ilipofika mida yasaa12 jioni akaona kimya kwahiyo akaamua kunifata kistoni kwangu kwakusema kuwa kaniijia nikamwambia poa anisubirie mpaka nifunge.
Shida ilikuja pale tulipoanza kuondoka, akawa kanipa simu niiupdate YouTube yake, ndio Nikajisemea ngoja nichokonoe kwenye meseji, aiseee nikakuta convention anachati na lijamaa analipanga kwamba leo (jana) lisije kulala maana atalala nadada yake ila jamaa likawa kama vile aliamini vile nalinamwambia nitakuja kushuhudia kama kweli umelala nadada yako, demu analipanga ili lisije. Namwisho waubishani wao jamaa likaishia kumwambia kuwa Kesho litaamkia hapo Lodge mapema sana kuhakikisha kama kweli kalala namwanamke mwenzake.
Nikaifanya kazi yake aliyoniomba nimfanyie nikampatia simu yake ila yeye akujua kama kuna text nimezisoma kwasimu yake. Hata Lodge sikuingia niliishia nje nikampiga kiswahili kuwa ngoja niende kwanza nyumbani mara moja baadae nitarudi ili tulale. Ila nilipoondoka ndio ikawa mazima sikurudi tena nasimu nikazima.
Nilichogundua demu nimalaya nawala akuangalia mbele hatarii iliyopo yamimi kufumaniwa najamaa yake aiseee. Na wakati nilimuuliza kabisa anauhakika hicho chumba anachotaka tukalale hakuna mwanaume aliyemuingiza? Ila aliweka msimamo kuwa hakuna mimi ndio wamwanzo nandio nitakuwa wamwisho kumbe jana yake tu kuna kidume kilikuwepo humo ndani nayawezekana ndio kinamlipia gharama zahicho chumba.
Uzi tayari jaman. Wanaume nawanawake nimalaya ila tuwe tunajali uhai wawenzetu jaman huyu demu jana angeniuza sema tu Malaika waulinzi walikuwa namimi together.