Jamshid...Mfalme wa Zamani Zanzibar

Jamshid...Mfalme wa Zamani Zanzibar

Macos

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2008
Posts
1,979
Reaction score
1,417
Akionekana very simple na asie na hofu ..very humble .
Uso wa upole..
Ni mmoja ambaye ccm znz humuota kila siku kuwa atarudi....sasa huyo hapo..amekua na mvi nyeupe lakini mzima wa afya..wengi walomvamia na kumpindua wako kwenye haki....
Allah ampe afya...
 

Attachments

  • 1469981911742.jpg
    1469981911742.jpg
    59.5 KB · Views: 185
Ana undugu na Sultan Qaboos wa Oman ama lah
 
SULTAN atarudi lini nyumbani Zanzibar? Siasa za wakati ule hazipo.
 
Mfalme wa Zenj,angekuwa bado mfalme Zenj ingekuwa kama Dubai
 
Mfalme wa Zenj,angekuwa bado mfalme Zenj ingekuwa kama Dubai
Kweli kabisa....kama enzi hizo majahazi ya kimataifa yalipangana mpaka yakakosa nafasi ya kugoa....kila aina ya biashara na bidhaa bora ilikuwa Zanzibar.....majengo ya kisasa
 
Back
Top Bottom