neyma urioh
Member
- Dec 9, 2013
- 25
- 5
hodiii
hodiii
Ina maana bajeti yetu ya wageni imeisha au umechakachua zile pesa?Karibuuu neyma urioh,samahani mgeni, naomba shilingi mia sita mtoto akuletee soda,si unakunywa fanta orange ehee!
Ina maana bajeti yetu ya wageni imeisha au umechakachua zile pesa?
Karibuuu neyma urioh,samahani mgeni, naomba shilingi mia sita mtoto akuletee soda,si unakunywa fanta orange ehee!
Karibu mdogo wangu
karibu sana, bilashak utakua ni ke
Karibu JF.