marwasenso
Member
- Apr 13, 2015
- 69
- 18
Hivi kuna wasukuma wanaitwa MARWA siku hizi?wasukuma bwana,mkuu naona unaijaribisha camera ya TECNO yako!
Ushauri wangu usirudie kupost picha ya familia. Hiyo ni privacy
Ushauri wangu usirudie kupost picha ya familia. Hiyo ni privacy
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji126] [emoji126] [emoji126] umenifanya nacheka kama kuchaa uwiiMbona shemeji kavaa kandambili imekatika Yeroooo....!
Nimeipenda
Hahaha kwani sio mleta mada huyu?Kuweka picha ya mtu.kwenye mitandao bila ridhaa yake si sawa. Ninavyofokiri mtoa mada ameona mtandao wa JF kama Facebook au insta au pin. hata kuona aweke picha zake.
Watu hawana dogo humu washachunguza hadi huyo dada kuwa ndala/sendoz yake moja imekatika. Watu zoom hadi nanihii aaah watu bana.....