JamiiForums kwenye 360 Cloudstv, Tazama sasa

JamiiForums kwenye 360 Cloudstv, Tazama sasa

Hivi dk. Mihogo anajibu lini vile tusikie mizigo ya south africa na usalama wa taifa wanne..???
 
Hawa madogo wanaonekana ni wafuasi wa Chama Chakavu. Mabadiliko yanayotakiwa ni kuiondoa CCM period, simply kwa sababu watu wameichoka and not otherwise.
kuna uzi humuhumu kwamba wasanii waliogoma kuburudisha kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za ccm hawatapata air time .
 
Back
Top Bottom