JamiiForums kwenye 360 Cloudstv, Tazama sasa

JamiiForums kwenye 360 Cloudstv, Tazama sasa

sixgates

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
3,979
Reaction score
1,667
Clouds Tv yupo Maxence Melo, anazungumzia mahitaji ya wananchi verses ilani za chama. Mdahalo unaendelea
 
nipo nafuatilia huu mjadala lakini kama simuelewi vizuri nikki wa pili.au mimi ndio kilaza?!!!!
 
Niki anauharibu mdahalo huu kwa kutaka kujifanya muongeaji mkuu!
Anawabana wenzake hawafunguki kwa kujinafasi .
 
Kuna ----- anamshutumu Gwajima amesahau Dr.mihogo ndio alianzisha ujinga huu sijui walitaka asijibiwe. Gwajima amefanya vzr sana kumpa mabango dr mihogo kama yeye alivomdhalilisha.
 
Kuna ----- anamshutumu Gwajima amesahau Dr.mihogo ndio alianzisha ujinga huu sijui walitaka asijibiwe. Gwajima amefanya vzr sana kumpa mabango dr mihogo kama yeye alivomdhalilisha.
Ila ni maoni yake mkuu ndiyo maana ya mjadala, kila mtu yupo huru. Jifunzeni kupokea msiyoyapenda
 
Hawa madogo wanaonekana ni wafuasi wa Chama Chakavu. Mabadiliko yanayotakiwa ni kuiondoa CCM period, simply kwa sababu watu wameichoka and not otherwise.
 
Hawa madogo wanaonekana ni wafuasi wa Chama Chakavu. Mabadiliko yanayotakiwa ni kuiondoa CCM period, simply kwa sababu watu wameichoka and not otherwise.
Je wanayoongea yanaishi?.. hayana facts?
 
Back
Top Bottom