JamiiForums Imewezaje Kuipita Facebook na Yahoo kwa Watembeleaj wengi?

facebook na Instagram ndio site zenye watembeleaji wengi Tanzania, hili hutakiwi kuambiwa na hao Alexa wala nini,lipo obvious kabisa

Mtaani unaeza kuuliza watu hata 10 kuhusu Jamiiforums na 7 wakawa hawaijui kabisa, ila Facebook hata bibi wa kijiji anaifahamu.

JF inafahamika kwa watu wanaofuatilia sana mambo, mpaka sasa hivi haina hata wanachama laki 5, Instagram kuna wabongo kibao tu wenye akaunti zilizozidi followers milioni 2, milioni 1 ndio usiseme
Unaweza ukawa na akaunt yenye watu wengi ila ukawa na watembeleaji wachache vilevile mfano miezi kazaa iliyopita konki master akaunti nadhani ndio ilikuwa na watembeleaji wengi.
 
Idadi ya views ni proportional na idadi ya members...Ukiwa na members wengi inaamaanisha wewe una watembeleaji wengi ndio maana hata ukawa na hao members wengi

Anyway kuna jamaa hapo juu kamaliza mjadala, kasema Alexa inapima watembeleaji wanaotumia browser na sio App, hapo nimekubali maaba watembeleaji wengi FB na IG ni kupitia App
Tukija kwenye muktadha wako wa members(Registered ndio maana ukasema insta mtu ana members 2m),Views haina uhusiano na Registered Members ndio maana Google haina Members wengi registered (gmail) kwahiyo mtu anaweza akatumia site bila kujisajili na kuwa members,JF ina Viewers wengi hawajajisajiri,ukigoogle kitu majibu ya kwanza yanakulink na JF so inawezekana mtu akafungua JF na akafatilia info na bila hata kutaka kuwa member yeye alichokuwa anatafuta amepata full stop.
 
Umechanganya Mambo, Kuna Mitandao Na Blogs, Ungeanisha Blogs Na Sites Peke Yake, Kina Google Na Yahoo Wanafanana, Facebook,twitter,instgram,you Tube Nk Wanafanana, Sasa Kulinganisha Nect, tra na hao ni kuchanganya mabo, sawa na kuweka paka kwenye kundi la nyani,kima,tumbili, na sokwe badala ya kwenye jamii yao chui na duma.
 
Nikusaidie na pia kwa mwanzisha mada na wengine:

Metrics za Alexa zinaangalia tovuti zinavyotembelewa kwa kutumia browser na si app.

Ni ukweli usiopingika kuwa watu wataenda ku-Google na wataitembelea YouTube kwa browser kabla haijawa-redirect kwenda kwenye app.

Sasa, Facebook, Twitter na Instagram zipo zaidi kwa watumiaji wa app zaidi ya web browser.

JF ikiweka nguvu zaidi kwenye app, itaondoka kwenye hiyo nafasi naamini
Mbona uzi unajieleza kuwa ni tovuti na sio matumizi ya app.
Ifahamike ni kwamba facebook.com na yahoo.com na instagram.com zote zilikuwa zinaizidi jf, we unaona kitu kidogo jf kuwa ya 3.
 
Nikusaidie na pia kwa mwanzisha mada na wengine:

Metrics za Alexa zinaangalia tovuti zinavyotembelewa kwa kutumia browser na si app.

Ni ukweli usiopingika kuwa watu wataenda ku-Google na wataitembelea YouTube kwa browser kabla haijawa-redirect kwenda kwenye app.

Sasa, Facebook, Twitter na Instagram zipo zaidi kwa watumiaji wa app zaidi ya web browser.

JF ikiweka nguvu zaidi kwenye app, itaondoka kwenye hiyo nafasi naamini
Ambae hajaelewa hapa asukumwe ndani
 
Tukija kwenye muktadha wako wa members(Registered ndio maana ukasema insta mtu ana members 2m),Views haina uhusiano na Registered Members ndio maana Google haina Members wengi registered (gmail) kwahiyo mtu anaweza akatumia site bila kujisajili na kuwa members,JF ina Viewers wengi hawajajisajiri,ukigoogle kitu majibu ya kwanza yanakulink na JF so inawezekana mtu akafungua JF na akafatilia info na bila hata kutaka kuwa member yeye alichokuwa anatafuta amepata full stop.
Alexa inaangalia watembeleaji wanaotumia browser, ndio maana JF imekuwa juu ila ingekuwa inaangalia kwa jumla ( wanaotumia app na browser) JF ingeachwa mbali...FB na IG ni kupitia app kwa asilimia kubwa
 
Jamiiforum sii kwamba haifahamiki Tanzania au hata nje ya Tanzania... si kwama haitembelewi lahasha...

Ila mitaani watumiaji wengi wa Jamiiforum hawataki kujionesha wanaujua huu mtandao...

Cc: mahondaw
 
Umechanganya Mambo, Kuna Mitandao Na Blogs, Ungeanisha Blogs Na Sites Peke Yake, Kina Google Na Yahoo Wanafanana, Facebook,twitter,instgram,you Tube Nk Wanafanana, Sasa Kulinganisha Nect, tra na hao ni kuchanganya mabo, sawa na kuweka paka kwenye kundi la nyani,kima,tumbili, na sokwe badala ya kwenye jamii yao chui na duma.
Wakati mwingine unapaswa kuuliza, blog zote ni tovuti(site) na si kila site ni blog au mwezetu unavyosema mtandao una maana gani.
Ndio maana umeekewa chanzo ni alexa, ambao wao algorithm yao inapima watembeleaji wa sites zote.
Kama unahitaji kuelewa zaidi kuhusu alexa algorithm kuna link nimeiweka.
 
facebook na Instagram ndio site zenye watembeleaji wengi Tanzania, hili hutakiwi kuambiwa na hao Alexa wala nini,lipo obvious kabisa

Mtaani unaeza kuuliza watu hata 10 kuhusu Jamiiforums na 7 wakawa hawaijui kabisa, ila Facebook hata wasiojua kusoma, watoto na wazee wanaifahamu.
Hakuna mtu mwenye smartfone asiyefahamu facebook, tena Tigo na Vodacom wanaitumia kwenye promotion kukuambia kuwa watakuwezesha kuitembelea bila data

JF inafahamika kwa watu wanaofuatilia sana mambo, mpaka sasa hivi haina hata wanachama laki 5, Instagram kuna wabongo kibao tu wenye akaunti zilizozidi followers milioni 2, milioni 1 ndio usiseme

Facebook kuna magroup na page za kitanzania zenye mamilioni ya members na followers

Nimeambiwa Alexa inaangalia watembeleaji wanaotumia browser tu, ndio maana JF imekuwa juu ila ingekuwa inaangalia kwa jumla ( wanaotumia app na browser) JF ingeachwa mbali...FB na IG ni kupitia app kwa asilimia kubwa
Mkuu kwenye play store inaonyesha app ya jamii forum kuna watu zaidi ya milioni moja wamedownload

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom