JamiiForums Imewezaje Kuipita Facebook na Yahoo kwa Watembeleaj wengi?

In kwe
Ni kweli Mimi siwezi kupitisha 1 hour kama Niko free bila kuingia jf.Siku wakiamua kuipiga promo ya matangazo kwenye redio na mabango,watakimbiza sana.Tatizo la milard ayo imeshuka kutokana na uoga wake maana amekuwa kama tbc au globalpublisher
Millardayo anaangukia kwenye Youtube ambapo bado ipo juu ya JF na Instagram
 
JF INA page face book ina page Instagram which means mtu akiona tarifa face book or Instagram anafollow link INA mleta moja kwa moja kwenye jukwaa la JF pia watu wanashare tarifa kutoka JF kwenda WhatsApp so watu wanalink


Millad ayo tumeanza muandalia kaburi na kumzika kama baba yao issa michuzi

Hatupendi ujunga siye
 
I am surprised stackoverflow ipo one of the top. Najua wabongo we are not very tech oriented
Hapo unaweza ukakuta wengi ni wanafunzi wa kozi za kompyuta wakiwa wanasearch maswali waliyopewa darasani stackoverflow huwa ni ya kwanza.
 
Kisicho riziki hakiriki, jamiiforums inaporolmoka kwa kasi ya kimbunga sasa ni ya tano na imepitwa na fb pamoja na yahoo.
 
facebook na Instagram ndio site zenye watembeleaji wengi Tanzania, hili hutakiwi kuambiwa na hao Alexa wala nini,lipo obvious kabisa

Mtaani unaeza kuuliza watu hata 10 kuhusu Jamiiforums na 7 wakawa hawaijui kabisa, ila Facebook hata wasiojua kusoma, watoto na wazee wanaifahamu.
Hakuna mtu mwenye smartfone asiyefahamu facebook, tena Tigo na Vodacom wanaitumia kwenye promotion kukuambia kuwa watakuwezesha kuitembelea bila data

JF inafahamika kwa watu wanaofuatilia sana mambo, mpaka sasa hivi haina hata wanachama laki 5, Instagram kuna wabongo kibao tu wenye akaunti zilizozidi followers milioni 2, milioni 1 ndio usiseme

Facebook kuna magroup na page za kitanzania zenye mamilioni ya members na followers

Nimeambiwa Alexa inaangalia watembeleaji wanaotumia browser tu, ndio maana JF imekuwa juu ila ingekuwa inaangalia kwa jumla ( wanaotumia app na browser) JF ingeachwa mbali...FB na IG ni kupitia app kwa asilimia kubwa
Kwa FACT ulizoongea nakualika kesho uje kula Pasaka kwangu kuanzia asubuhi saa 12 hadi saa 6 usiku
 
Lakini jamiiforums ina watembeleaji wengi ambao sio members angalia idadi ya views ambao wapo online utaona wengi ni guests
Ishu ni kujinga mkuu mtu mwingine kama Maxence Melo anaweza akawa ni mtembeleaji yaani GUEST ila anatamani achangie ile mada ishu ni pale anapoambiwa aweke EMAIL mtu mwingine anajiuliza EMAIL ndio nini?
Why wasiweke hata namba za simu?
 
Back
Top Bottom