Mkuu,
We nunua android tablet bana, it's cheap na naamini hutojutia. Naelewa, haya ma-iPad au ma-iPhone ni aghali sana lakini android si gharama kiviiile; blackberry humu JF naona watu wanazitangaza kwa bei ya laki 2 hadi laki 3; bado unaweza kununua na kwendana na maisha yanavyotupeleka!
Karibu
Wanajamii,naomba mniambie kati ya Operating Systems za Simu zifuatazo ni ipi Bomba kwa matumizi ya kisasa ya Mawasiliano simu?
.MICROSOFT phone8
.IoS 6
.Android Jelly Bean 4.1
Wanajamii,naomba mniambie kati ya Operating Systems za Simu zifuatazo ni ipi Bomba kwa matumizi ya kisasa ya Mawasiliano simu?
.MICROSOFT phone8
.IoS 6
.Android Jelly Bean 4.1
naomba mnielekeze namna ya kujiunga whatsapp kwa simu aina ya iphone 4s
naomba mnielekeze namna ya kujiunga whatsapp kwa simu aina ya iphone 4s
Ndiyo kusema mmeondoa App ya kwenye Blackberry na kuacha ya iPad na iPhone tuu. backberry sasa hivi ukifungua inakuambia The APN setting is not correct na haifunguki. Ambapo hapo nyuma ilikwa Bomba.
Sisi wa Windows phone inakuwaje?
Jamani Nokia Usher inaweza kudowlod whatsapp...kama yaweza nsaidieni