Kuhusu adfly Bot sahau hamna inayowork, zote uzionazo au kuona watu wakitangaza ni fake tu. Maana uki angalia concept behind hauwezi uka earn kwa botting, First adfly hawaruhusu na wako strict kuhusu swala hili na wata ku BAN na hawata angalia ata kama mwanzo uli earn kihalali. Kuhusu kutegeneza bot ambayo itaclick links zako ni simple kutegeneza lakini ni kwamba. Hazita count wana angalia IP so IP moja inaweza ku earn kwa click moja tu kwa each link. Kuna watu wakategeneza bot ambayo ina support proxies mwanzo na zamani sana ilikuwa inawork hii lakini wakaja block na kubacklist proxies na hazitacount. So hapo ata kama una bot hautaearn kitu.
And kuhusu utalipwaje, wanaruhusu na LR(liberty Reserve) hapo unaweza tegeneza account bure na haitaji verification za kulink card and unaweza send and receive money right away. So bado still uko Tanzania utaipataje iyo hela. well katika iyo site kuna trusted Patners wamelist ambayo wana fanya exchange Kwa liberty Reserve to Western Union.
So swala iliobakia ni uta earn vipi maana kuna watu wana earn mpaka $1000 per month, ni kuwa mjanja tu na ujue wapi pa kuwashika watu, na kama ushajua kuwa katika nchi gani ndo uta earn more per click ndo vizuri kuwa target hao hao.
So ukitaka ku earn nakushauri u earn kihalali na uachane na mabots. na uwe mbunifu na ujue kipi kinasakwa sana ukiweke uvute hits zako.